Je, Ingelikuwa wewe ungelifanya nini?

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,665
12,170
Wakuu za mchana,
Kwanza samahani kama hii inaweza kuwakwaza baadhi ya watu lakini sina mrengo huo.

Katika kuishi kwangu uswahilini nimekutana na mambo mengi lakini kuna hili moja ambalo bado sijajua undani wake labda matabibu na waliokula chumvi nyingi wanisaidie, nimewahi kusikia kuwa mtoto wa kiume akizaliwa na kitovu kikaangukia katika uume mtoto huyo atakuwa hanisi na tiba pekee ni endapo mama huyo atajua hali hiyo basi akubali kuingiliwa na mwanawe ili kumnusuru na hali hiyo, hayo ni mambo ambayo siyajui hata na natamani nipate ufumbuzi katika uzi huu kwani naamini, je ni kweli au ni misemo ambayo wazee wa zamani waliitumia wakiwa na maana fulani.
cc mshana jr Dark City @gergousmimi na wengineo
 
Mimi nilisikia kama mtoto sio wako ukimpiga na dushe anakufa ,sijui ni miss changa ama Evelyn Salt ndio aliyetoa hiyo statement
 
Hiyo ya kitovu ilikuwa ni mbinu iliyotumiwa zamani ili kuwafanya kina mama wawe makini na kuviangalia vitovu vya watoto maana kitovu kikiwa kibichi kinataka uangalizi makini mno...
 
Hiyo ya kitovu ilikuwa ni mbinu iliyotumiwa zamani ili kuwafanya kina mama wawe makini na kuviangalia vitovu vya watoto maana kitovu kikiwa kibichi kinataka uangalizi makini mno...
unaongea kwa code sana, funguka mkuu
 
Unakumbuka hata ulikuwa ukimruka mtu akiwa amekaa ama kulala chini unaambiwa ni mbaya uliemruka ataendelea kuwa mfupi? Ilikuwa ni jinsi ya kutoa elimu ya maadili kwa namna kutisha...
sure
 
Na ile ukitembea barabarani huku unakula wazee walikuwa wanasema utaolewa mbali!
Yup! Ilikuwa ni namna ya kufundisha maadili kwa mtindo ule na ilifanya kazi kipindi kile ila kwa sasa nadhani inaanza sahaulika...
 
Ukikojolea maji mtoni au kisimani eti mama yako atakatika nyonyo...kumbe ni kwavile yale maji yanatumiwa na watu wengi hata kwa kunywa.
 
Its just a false myth wala haina uhusiano wowote kati ya kitovu na dushe ila nadhani ili kusudia kuongeza uangalizi wa mtoto katika kipindi icho cha mwanzo wa maisha ya mtoto coz kina katika 5-10days
 
Back
Top Bottom