Mrembo aliyetayari kuolewa

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Ni mara yangu ya kwanza kutafuta mrembo aliyetayari kuolewa.

Vigezo;
Asiwe mfanyakazi sehemu yeyote
Maji ya kunde rangi yake
Mwembamba wastani
Asiwe na mtoto
Anayetokea mikoa ya kanda ya Pwani
Awe tayari kufunga ndoa wakati wowote
Umri 22-27

Karibuni kwa michango yenu
 
Mbona hujasema wewe una umri gani? Elimu yako kiwango gani? umejiajiri au kuajiriwa? uko vipi kimo chako na rangi yako? ila sharti la kwanza gumu kumeza, utakuwa unatoka znz wewe, lakin waznz siku hizi nao huwaachia wake zao wafanye kazi au wewe Mwalabu (Mwarabu)
 
Ni kweli mi ni mtu wa pwani, ila atakayekuwa serious ni kunipm ndo ntamueleza yote uliyouliza hapo.Samahani kama ntakuwa nimekukwaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom