Vitu sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,081
6,916
1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza kupoteza uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana hapa!...
 
Umeanza vizuri sanaaaaa..... na umepatia kweli kweli Ni km JPM aipatia kumpa U-RC Makonda. kweli me nakupa 99% hapo namba 6 ambayo ndo ya mwisho hapo ndo umeharibu vibayaaaaaa.... aiseeee....we hujui km M/wa mtu ni mtamuuuuuu...jaribu hutaacha.....
 
1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza kupoteza uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana hapa!...
koooote ilanamba sita nilibadili uso hahaha
 
Hawa wanasayansi wako wapi? Ni chuo gani wamesoma kuhusu no 6. Embu acheni utani
 
Back
Top Bottom