The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,042
- 1,222
Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri