Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NJIA 59 ZA KUMFURAHISHA MKEO 1. Mfanye ahisi kuwa yuko salama; acha kuwa mbabe na mgomvi! 2. Unapoingia nyumbani ‘toa salamu' Salamu humfukuza shetani nyumbani kwako! 3. Mke ni mfano wa chombo...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
Wasalam! Kama mnavyoona hali ya hewa imebadilika ni mvua kila kona tahadhari tu wandugu mkipita pale sinza mori mfunge vioo na milango vya magari yenu wale wadada wanaosimama pale ni wezi...
28 Reactions
959 Replies
238K Views
Nakumbuka enzi nipo kijana mdogo nilikuwa napenda sana kuwa na wasichana wa jirani, shuleni, kanisani nk, ila wengi walikuwa wananitolea nje ila kwa sasa baada ya wao kuona mambo yangu yapo safi...
2 Reactions
103 Replies
8K Views
Wanajamvi,wadau wote,wanaintellegensia ya mapenzi,mchunguzi huru na wengine wote, Hivi ni kwanini mabibi harusi wa zamaini siku ya kuolewa walikuwa wakilia na kutoa machozi tofauti na wa sasa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Heshma kwenu Wakuu. Kuna jambo naomba mnipe ufafanuzi kwanini hua inatokea hivi. Hii ni hasa kwa Wanawake. Tunaeza kua Bestfriends na kila mtu ana Mpenzi wake na maisha yanasonga vizuri tu...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
KUSEMA NA KUFANYA Wote tunajua kusema sana kuliko kufanya. Kuna watu wanasema na wanafanya, ila changamoto inaanzia hapa, wanachosema wanafanya sio kile wanachokwenda kufanya. Wanasema hiki na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna zoezi linaloendelea la kukamata madada poa wateja wao jijini Dar es Salaam, zoezi hili lilikuwepo katika awamu za serikali zilizopita. Tofauti ni kwa awamu hii inaonekana wapo serious sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Are you a Christian with the age of 25-30? Graduate? Do you wish to have family? Please lets talk for a serious relationship, PM me.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za jumapili wakuu, Mimi tangu jana nahisi kummiss mpenzi wangu wa zamani niliyepotezeana nae mwaka jana mwishoni, nifanyaje kuondoa mawazo yake kichwani mwangu? Nitumie njia ipi kumtoa...
2 Reactions
117 Replies
13K Views
namsshukuru Mungu kwa maoni na ushauri wenu.
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Mwanamke kuvaa nguo nyepesi mbele ya mahaarim zake nyumbani. Swali: Inajuzu kwa mwanamke kudhihirisha kitu katika mwili wake kama kisigino chake, kifua chake na mfano wa hayo mbele ya Mahaarim...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini humu ndani. Najua dada zetu wengi wakiona wametongozwa na wazungu (especially wazee) wanafurahi sana na kukimbilia kufunga nao ndoa ili wapate viza za kwenda nje. Kumbe mambo yako tofauti...
6 Reactions
34 Replies
8K Views
Awe umri wa miaka 19~28. Follow me PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yapo matukio ambayo yanatia ukakasi kuyazungumza lakini hili ni jambo ambalo limetokea katika shule fulani wilayani Muheza. Huyo mzee amebahatika kuzaa watoto wakike 4 na wakiume 1 wa mwisho na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu wana MMU, Ni karibu miezi nane imeishatoka tulipoachana na mpenzi wangu kutokana na sababu mbalimbali hasa mimi nikiwa ndio chanzo cha sababu hizo. Tumekuwa tukiendelea...
0 Reactions
111 Replies
9K Views
Habari wana jf,Mimi ni kijana wakiume ,naishi dar na nimeajiriwa na taasisi moja ya kifedha,nahitaji mchumba sifa, 1.awe mweusi na awe mnene wastani 2.Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 27 3.Awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - wa Angola, wa Rundi na wa Nubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - wa...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Zamani kidogo ilikuwa nikawaida kutambiana kwamba labla mi nadate na fulani, naye anakuwa anakuambia mi mwenyewe nipo na fulani. Ila kwa sasa naona maisha yamebadilika sana, kila mtu anajiegesha...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Back
Top Bottom