Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
Mwee hiyo kitu ukiimis hakuna mbadala wake ,tafuta tu namna wewe ni mtu mzimaananijali sana but Kuna muda namuhitaji ndio hivyo yupo mbali ,labda unipe kauzoefu
vumilia kidogo tu baby, bora uonekane unajidai kugawagawa haifaijamani Peter kha!!!!!!!
Hapana mama naamanisha uloweke kwenye barafu si mnasemaga zinashusha ashkiunamaanisha nipite barabara ya vumbi aaaargghh
Teh teh..Mwisho km1000 tuHivi hii kitu ya long distance inafanyaga kazi kweli?