Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Nimeikuta hii Yahoo, nikamua kuitafsiri tu mjue dunia ina mambo yake. Baada ya kupoteza watoto wao saba kwenye janga baya na kubwa sana la moto, miaka 5 iliyopita, Janelle na Ted Clouse...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo naomba je ni adabu au ndo mapenzi
2 Reactions
128 Replies
11K Views
Kuna dhana kwamba hawa wanawake wana nyota zao, kwamba unaweza ukawa na msichana flani alafu ukakuta mipango inaenda vibaya sana na unaweza ukawa na msichana mwengine mambo yakanyooka hadi raha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue,maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee "Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni...
1 Reactions
69 Replies
21K Views
Wiki iliyopita nikiangalia kipindi cha Television na mama yangu, Mtangazaji akawa anasimilia kisa cha dada mmoja kumwacha mume wake na kurudi kwao kwa kisa cha kukuta meseji ya mapenzi kwenye Simu...
3 Reactions
161 Replies
16K Views
Habari wandugu Nimeona in vyema tuambiane kuhusu tabia za hawa wenzetu ,Siku hizi wadada wengi hasa wale wa rika la kuanzia miaka 25 kwenda juu asilimia 90 hawana mapenzi ya kweli hata uwapende...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaaam kwenu wakuu, Mimi ni kijana, namshangaa shemeji yangu huyu wa kike amekuwa akinichonganisha na mke wangu mara kadhaa. Baada ya kumuoa dada yeke akahamia kwangu wakati anasoma chuo kimoja...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu wadau, Mi swali langu ni kuwa kwanini hawa watu wamekuwa wengi sikuhizi kisa nini na pia adi nchi za ulaya wanalazimisha nchi zetu ziuhalalishe. Swali, ni nini kinacho sababisha adi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
WHO SAID LADIES ARE MORE IMPORTANT THAN MEN,IF SO ANSWER THESE QUESTIONS FOR ME? 1. Can you spell madam without Adam? 2. Or woman without man? 3. 0r maybe you can spell female without male...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamiiForums, natumaini mu wazima wa afya. Hii kitu nimeikuta sehemu sasa nikaona niilete hapa tulijadili. Ukweli kuhusu asilimia kubwa ya wanawake; 1. Wanaamini katika kutunza akiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanaJF, Hivi unapokea simu unaitwa polisi unaelezwa mme/mke amekamatwa na yupo lokapu unawahi kujua msaada gani ili atoke unapofika kuuliza kosa lake unaambiwa kafumani na mme/mke wa mtu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sio mara chache nimeshasikia kuwa kuna baadhi ya wanawake fulani wana neema sana. Unapowaoa basi baraka zinamiminika na mafanikio makubwa unayaona. Sote tunafahamu karibu kila mafanikio ya baadhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka. Wewe badala hata utake...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
NJIA 59 ZA KUMFURAHISHA MKEO 1. Mfanye ahisi kuwa yuko salama; acha kuwa mbabe na mgomvi! 2. Unapoingia nyumbani ‘toa salamu' Salamu humfukuza shetani nyumbani kwako! 3. Mke ni mfano wa chombo...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
Wasalam! Kama mnavyoona hali ya hewa imebadilika ni mvua kila kona tahadhari tu wandugu mkipita pale sinza mori mfunge vioo na milango vya magari yenu wale wadada wanaosimama pale ni wezi...
28 Reactions
959 Replies
238K Views
Nakumbuka enzi nipo kijana mdogo nilikuwa napenda sana kuwa na wasichana wa jirani, shuleni, kanisani nk, ila wengi walikuwa wananitolea nje ila kwa sasa baada ya wao kuona mambo yangu yapo safi...
2 Reactions
103 Replies
8K Views
Back
Top Bottom