Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ? Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim...
1 Reactions
149 Replies
61K Views
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya... Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali...
1 Reactions
66 Replies
18K Views
Lookin for friends to chat with .. A girl i prefer .. Am a boy 26yrs of age ... I wana kick my boredom away ... Have a blessed day
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndoa inasemekana ni baraka pale wachumba wanapokuwa wamependana kwa dhati,na kwa hiari yao wanaona ni muda muafaka kuwa kitu kimoja kama mke na mume.Lakini kwa upande mwingine ndoa inakuwa ni...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mdogo wangu mi nashindwa jinsi ya kumshauri, Anamchumba wake/mpenzi hawana mda mrefu tangu wamefahamiana walikutana kwenye mtandao wa kijamii wakapendana wakakutana wakafahamiana na kuanza...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
nilikuwa nacheki TBC siku moja nikaona jamaa anafanyiwa sendoff/kitchen party. yupo na mpambe wamevaa sare. zikaletwa kuni na shoka eti anademonstrate majukumu ya baba!! hivi ni kawaida hizi ishu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni ukwel na sio uongo wana jf.Mimi nina miaka 26 mwanaume kamili..natafuta binti wa miaka 20~28.lakini tuanze kama marafiki kwa mda kadhaa ili tuweze kuzoeana kwa kila hali... pm inahusika
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua...
1 Reactions
153 Replies
17K Views
Naombeni ushauri wenu mabibi na mabwana, ma Mr and Mrs, ma boifrend na ma gelfrend
3 Reactions
86 Replies
10K Views
Watu Wengi Sana Tunapenda Kuwa Na Watoto Huku Tukisema Kuwa Mtoto Ni Baraka Kutoka Kwa Mungu Bila Kuzingatia Mambo Mengine. Tunalalamika Kizazi Cha Leo Ambacho Kimejaa MATATIZO Na UTOVU WA NIDHAMU...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Quicky ni kitendo cha kufanya mapenzi chap chap, kwa kawaida dakika 3 hadi 5. Mara nyingi hufanyika katika mazingira ambayo mmakuwa hamna muda, say mmoja wenu atatakiwa kuondoka dk 10 zijazo au...
2 Reactions
162 Replies
24K Views
KUOA AU KUTOKUOA KWA KIJANA Kumekuwa Na mvutano mkubwa wa kimawazo kuhusu suala zima la kuoa kwa vijana hasa vijana wasomi Na vijana wanaoishi mjini Na hii imepelekea vijana wengi waliooa Na...
7 Reactions
17 Replies
8K Views
ilikuwa mwaka 2009 nikiwa form four mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja mwenye tabia za kike kike. Alikuwa ana ukaribu sana na vijana wadogo wadogo wa form two hadi form four. Kumbe jamaa yule...
0 Reactions
52 Replies
59K Views
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! Akawa kila siku...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Je ni sawa kwa mwanaume wakati wa kuoa kukataa sherehe ya send off matokeo yake kuwa na sherehe moja tu siku ya harusi ijulikanayo kama reception? Je hili jambo linawezekana yaani uwezekano wa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Kweli nawambia,siku nikikamatwa kama mnunuzi wa kahaba ilihali biashara hiyo haitakiwi,najua fika kwamba ntapelekwa mahakani na mahakamani ntaulizwa sana,nikiulizwa kwa nini ulinunua kahaba...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
SIGNS OF A WIFE MATERIAL 1. If your Girlfriend comes to your house and joins you in drinking uji or joins you in sweeping ugali and matembele marry her fast because many girls claim that they...
15 Reactions
163 Replies
22K Views
Habarini, Yaanii daaa sijui nianzie wapi maanaaa ila ngoja nianzie hapa wanaume wenzangu mtakazia Mbele ya Safari Sijuagi hawa ndugu zetu wasichana a.k.a mademu zetu kwa lugha nyepesi huwa wana...
17 Reactions
72 Replies
9K Views
Asalaam nawasalim katka bwana... Leo katika pitapita zangu nimekutana na jamaa ang siku nyingi tumepotezana. Basi tukaongea mawili matatu badae akatoa simu akanionesha picha ya mwanamke basi bwana...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Salaaam wakuu, -Maisha ni kujiamini na watu wengi waliojimini wamefanya vitu vikubwa sana duniani na vyenye manufaa na bila kuwa na kujiamini hata wewe mwenywe usingezaliwa ¤SIFA ZA KUJIAMINI...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom