zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Habari zenu wana JF,
Ninaomba ushauri kwenu.
Juzi nilirudi nyumbani muda ambao si kawaida yangu. Kawaida narudi kuanzia mida ya saa 1 moja jioni. Juzi nilipofika ofisini niliitwa kwa MD akaniambia natakiwa kujiandaa kwa safari ya kikazi nje ya Dar. Akaniambia nianze maandalizi ya safari. Nikaamua kurudi nyumbani.
Nilipoingia getini nikamkuta bibi amelala kwenye mkeka sikuona busara kumuamsha. Nikaingilia mlango wa jikoni, bahati nzuri haukufungwa kwa funguo. Nikaingia nilipofika sebuleni nikamkuta mdogo wangu wa kike na kijana fulani wa hapa hapa mtaani wanalambana ulimi. Mdogo wangu chini kidume juu amemlalia, mdogo wangu alivaa khanga tu nayo ilifunguliwa.
Nilipatwa na mshangao kisha hasira sana, nikawatazama kwa sekunde kadhaa kisha nikaamua kuondoka kwenda kukaa kijiweni bila kuwasemesha.
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mdogo wangu maana hadi sasa sijaongea. nae.