Natafuta mpenzi

Lavan Island

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
2,377
2,048
Habari Wana JF,

Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zaidi mimi.

Wasifu wangu mimi;

Mkisto
Nimeajiriwa
Nina elimu ya kidato cha 6
Maji ya kunde or brown
Sinywi pombe
Na ninaishi kwangu.
 
Lkn ni bora utafute kati ya unaokutana nao au wa mitaani
Uku utasota2 bila mafanikio
Au hujui kutongoza???
 
Basi ukiwa na nia njema MUNGU atakujibu haja ya moyo wako, umpende na kumtunza mke wako hadi kifo kitakapo watenganisha
 
Binadaam angekuwa anaweza kufanya modification ya binaadamu mwenzake mbona ingekuwa shida utapata subir waje
 
Habari Wana jf
Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zamimi

Wasifu wangu mimi

Mkisto
Nimeajiriwa
Nna elimu ya kidato cha 6
Maji ya kunde or brown
Sinywi pombe
Na nnaishi kwangu.
humu chenga tuputafuta physicaly
 
Habari Wana jf
Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zamimi

Wasifu wangu mimi

Mkisto
Nimeajiriwa
Nna elimu ya kidato cha 6
Maji ya kunde or brown
Sinywi pombe
Na nnaishi kwangu.

Umesahau Kipengele Kingine Muhimu Sana Ambacho Wadada Wa Leo Hupenda Kujua Mapema. Je Una " Mpini Wa Uhakika " au Ni " Njiti Tu Ya Kiberiti? " Nina Uhakika Ukiyajibu Tu Hayo Maswali Utapata PM's Nyingi Sana Mkuu. Kila La Kheri!
 
Habari Wana JF,

Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zamimi.

Wasifu wangu mimi;

Mkisto
Nimeajiriwa
Nina elimu ya kidato cha 6
Maji ya kunde or brown
Sinywi pombe
Na ninaishi kwangu.
Katafutie bar wapo wengi wanakusubili kwa hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom