Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,636
- 47,405
Habari za wakati huu wanajamvi. Bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada.
Wapendanao wakigombana kujulikana ni rahisi sana. Baada ya kuona shem akitaka kuwasiliana na jamaa anapitishia ujumbe kwangu,alikadhilika mshikaji nae hupotezea taarifa toka kwa bae wake. Nikajua dhahiri hali si shwari.
Baada ya kudadisi,jamaa ikabidi afunguke :
"Analyse huyu shem wako atakuja kuniua. Nimefata masharti yake yote ila mambo nnayokutana nayo sasa nashindwa kuendelea kuwa nae.
Mimi na yeye kila tunapokuwa eden (6 kwa 6) huwa anafurahia sana. Kila tunapomaliza hunipongeza na kuna kipindi alikuwa ananipaga hela ya nauli tukiwa tunaondoka ikiwa ni kuonesha appreciation. Kuna siku ilikuwa ni mwanzo wa likizo (jamaa na shem wangu wote wapo chuo) tulikubaliana tuupitishe usiku tukiwa pamoja lodge kama kuagana maana after that tungekuwa tunawasiliana kwa simu tu (maana wanaishi mikoa tofauti). Mimi nilitangulia lodge alafu yeye akaja badae kidogo. Alipofika baada ya vistori vya hapa na pale,akaniambia " Baby hivi unajua the way unanifikisha sitamani kuwa na mwingine" kidume nkafurahia kusikia vile. Ila akaendelea " Hun unajua ukinifikisha zaidi ya hapo i can scream your name mpaka watu waje?" Nkaguna tu,alafu akaniambia "Baby hivi ni kweli mwanaume akinywa konyagi na asprin anakuwa na uwezo zaidi kitandani?" Nkajibu "mmh sijui kuhusu ilo mamii,siunajua mimi situmii vilevi" Kisha nikamuuliza "nani aliyekwambia hivyo?" Hakujibu.
"Kwanini tusijaribu leo?" akaniambia. Ikabidi nikae kitako kitandan maana nlikuwa nimejilaza, "Tujaribu?" Akajibu ndio huku akitoa konyagi ndogo na kikaratasi chenye vidonge kwenye mkoba wake. Tukabishana wee,ila mwisho wa siku nkaona sio mbaya ngoja nimridhishe maana muda ulikuwa unazidi kwenda tu alafu bado hatujafanya chochote. Nkameza asprin mbili na kile kichupa cha konyagi nkapiga robo tatu kwa tabu sana.
Baada ya robo saa tukaanza romance. Nilikuwa high sana ile siku. Mamii akaniaga aende msalani mara moja,alivyotoka nikajiegesha namsubiria kwa hamu. Huwez amini Analyse nilistuka saa mbili asubuhi baada ya shem wako kunimwagia maji. Na hapo alishaniamsha sana toka usiku.
Ili tukio likatuingiza katika mgogoro ila baada ya muda tukaelewana. Siku,miezi ikapita. Juzi (ilikuwa 8/03/2016) tupo lodge fulani tukila raha zetu,ghafla akataja jina la mtu mwingine (sikuwahi kulisikia hapo kabla) ,sikudhamiria ila nkajikuta nishampiga kofi. Sikutaka mjadala,nikaanza kuvaa niondoke. Akaanza kuomba msamaha na kusema huyo sio mtu wake, alimuona tu kwenye video,kisha akanionesha hiyo video (porn).
Kuzidi kupekuwa simu yake nikakutana na video za aina hiyo nyingi tu. Kufatilia source ya hizo video kama anadownload au anatumiwa ndipo nikakutana na group la WhatsApp linaitwa "KITCHEN PARTY" humo kuna wanawake kibao wanaelezana ujinga wao na majority ya member wa ilo group walikuwa wakimsifia huyo jamaa aliyetajwa na shem wako huku wakitumiana picha zake akiwa naked. Pia nkakutana na ile mada ya "Konyagi na Asprin"
So broh nimeamua kuachana nae tu. Nipo kivyangu sasa hivi. Mwambie na yeye ashike 50 zake maana siwezi kumridhisha muangalia porn "
Mwisho wa kunukuu maelezo ya rafiki. Nilichoka alivyokuwa akinisimulia,pia kuna wakati nilijikuta nacheka hadi na yeye akacheka hasa kipengele cha "Konyagi na Asprin".
Dada zetu mtatuua jamani,jifunzeni kuridhika. Alafu acheni kuongopeana huko kwenye magroup yenu.
#Analyse