habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Hi, wapendwa nakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na dunia, natumai hamjambo hapo mlipo.
Ukiwa umelala, upo kazini nk, nikukumbushe nyuma kidogo kuhusu mpendwa wako mliyependana sana, mliyewekeana ahadi chungu nzima kwamba mtakuwa wote hadi kifo kiwatenganishe, uko nae? Yuko wapi sasa? Alikudanganya nini hadi ukamwacha akaenda zake na unamkumbuka kwa lipi.