Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
AMRI NANE (8) KWA WAPENDA OFA
1. Uwe na heshima kwa anayekununulia
2. Toa saalam kwa anayetoa ofa kabla hajaketi
3. Uwe ndio mchekeshaji wa kikao
4. Usithubutu kumkatisha kitu yeye akiwa anaongea
5. Mtoa ofa akikutuma popote pale usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki wowote yaani wewe imba ikibidi inuka uanze kucheza kabisa
7. Usinywe kwa pupa kunywa taratiiiibu
8. Mtoa ofa akitoa kichekesho kiwe cha zamani hakichekeshi wewe cheka hadi utoe machozi
ZITUMIKE IJUMAA - JUMAPILI