UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,463
Hili nime liobserve long time, popote ninapopishana na mdada,mmama wanapenda kuangalia chini ya kiuno cha mwanaume kwenye boxer.
Wapo wanaotoa macho kodo! Kama fundi saa! Wengine wanaangalia kwa kuibia, huwa mnajisikiaje wakina dada ukiona kitu kimeshiba! Kimetuna! kwenye boxer? Sio kwamba mnajiumiza wenyewe? Ni nini kinawavutia?
cc: Nifah Preta