Jini mahaba na virusi vya UKIMWI

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,635
3,658
Nina swali dogo wanajukwaa.

Hivi inawezekana jini mahaba kumwambukiza mtu virusi vya UKIMWI limuingiliapo kingono? Na mimba je?

Maana tumegundua huwa linamuingilia mrs na hofu imenijaa.

Karibuni wajuzi mtujuze.
 
Nina swali dogo wanajukwaa.
Hivi inawezekana jini mahaba kumwambukiza mtu virusi vya ukimwi limuingiliapo kingono? Na mimba je?

Maana tumegundua huwa linamuingilia mrs. na hofu imenijaa.

Karibuni wajuzi mtujuze.

...mkuu sina uhakika juu ya jini kuambukiza ukimwi, bali ninauhakika kwa 100% kuwa upo ukimwi na magonjwa kama cancer, moyo n.k ya kupandikizwa kwa uchawi au kimajini....
 
Hapa mzee kuna uchawi mtu anamuingilia mkeo kididhain na ww ukiwepo kitandani bila kujiwa mkeo analiwa,akijuwa ww ndo unampiga mashine
 
Wapo watu wenye huo uchawi wa kuingilia wanawake kimazingira pia, sio jini mahaba tu.
Basi ni hatari sana. Kumbe unaweza kudhani ni jini wakati sio, watu wanamuingilia kichawi. Natamani nipate uhakika pia kama jini anaweza kuambukiza huu ukimwi wenyewe wa kawaida ambao ukienda kupima hospital unaonekana.
Mungu aepushie mbali
...mkuu sina uhakika juu ya jini kuambukiza ukimwi, bali ninauhakika kwa 100% kuwa upo ukimwi na magonjwa kama cancer, moyo n.k ya kupandikizwa kwa uchawi au kimajini....

Hapa mzee kuna uchawi mtu anamuingilia mkeo kididhain na ww ukiwepo kitandani bila kujiwa mkeo analiwa,akijuwa ww ndo unampiga mashine

Yapo hayo magonjwa ya kichawi sema ukienda hospitali ukipima majibu yataonyesha hujaathirika,ila utaumwa dalili zote za ukimwi na unaweza kufa pia.
 
It's true the so called spiritual husband wapo sana tu katika jamii. Ni zile roho chafu ambazo humvaa mhusika na kuja kwa image ya mtu unayemjua mfano mpz ako au mkeo/mumeo. Pepo hilo huja ndotoni na wakati mwingine laweza kuja live... Mtu anaweza ambukizwa na VVU thru hilo pepo kumvaa na kumfanya huyo mhanga kujihusisha na ngono hovyo na watu wenye maambukizi yeye bila kujijua. Yaani kumfanya asilidhike na mwenzi wake wakati wa faragha na kujaribu kutafuta nje. Lakini hilo pepo hukemewa kwa maombi na imani na kumtoka mtu
 
Mkuu kuliko kuuliza hivyo bora ungeenda kwa m2 mwenye imani kali alikemee
 
Inawezekana kuambukizwa japo ni nadra sana kutokea.
Kitu common ni kupewa mimba ya kichawi na kuzaa watoto wa kijini ambao hugeuzwa kuwa mawakala wa kuzimu moja kwa moja, watoto wa kipepo ni wengi sana aiseee.
Kesi nyingi za kuambukizwa ni za kutengenezewa ukimwi feki wa kichawi na wajanja wa mujini halafu unatupiwa, ila ukipiga maombi tu huwa yanalipuka na kutaja yaliko toka na ukishayaondoa mwathirika anapona ghafla.

Kumbuka majini hayo huwa hayaji na magonjwa tu, yanakuja na vitu kibao kama nuksi, kukataliwa, kiburi, kuvuruga ndoa na makorokoro kibao.
 
Asante mkuu. Nimekuelewa sana
 
asigwa;
Leo umetoa mpya. Bado weye unaenda kwa hao wapiga ramli chonganishi. Ati pepo linakemewa na kutaja lilikotoka. Neno la Mungu linasema, Shetani asemapo lolote ni uongo kwani yeye ni baba wa huo uongo wala kweli haimo ndani yake. Asemapo huo uongo ndiyo kweli yake hiyo. Sasa weye wasema ati anataja aliko toka. Huo ni uchonganishi wala sio kweli. Siku nyingine atakupiga mwara, ati; Mamako mzazi kanituma nije muua huyu mwanao, si tiyari chuki kati yako na mamako?? Alikuja ili; aibe, aue na kuharibu. Hilo ndio ujio wake kwenye hiyo familia. Umuue mamako, umchinje na kuharibu mahusiano yenu.
Kamwe, usimsikilize aliyepagawa.
Kwa ajili ya mada; Kuna maambukizi yaletwayo na majini. Hii ndiyo kweli. Kama wachawi wanatembea na wake au waume za watu ni rahisi majini pia
 
Back
Top Bottom