Nguvu ya vazi jekundu kwa mwanamke

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
331
99
Je, Unasumbuka juu ya penzi?

Unakosa mahala sahihi pa kuweka penzi lako?

Mpenzi au mume wako hatulii?

Je, Unataka kumiliki na kuwa na mamlak juu ya ndoa yako?

Kama ndiyo, fuatana nami kwenye somo hili na kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utapata kibali kulingana na haja ya moyo wako.

Fanya yafuatayo bila kujali imani yako;
-Tumia vazi jekundu (gauni) iwe vazi au gauni ndefu isiwe fupi inayoonesha mwili wako, vazi jekundu humpa mvaazi nguvu, mamlaka na uwezo wa kuamua jambo lake likafanikiwa. Tumia bila kuchanganya na vazi lenye rangi nyingi siku maalum la tukio unalokusudia. Pia vazi jekundu huvuta upendo kutoka upande wa pili wa mwanaume na kuingia kwenye mamlaka yako.Hakika haja ya moyo wako itatimia.Lakini kama hutoweza au hupendelei vazi jekundu unaweza kutumua kitambaa jekundu.

Jinsi ya kutumia nitaelezea kwenye uzi mwingine.
 
Heee jamanii tha ukivua tuu c yaleyale???hahhaha me ntakuwa cvui basi labda aondoke na akirudi tuu huyo nnalo mwilini kama nyonya damu vileee
 
Heee jamanii tha ukivua tuu c yaleyale???hahhaha me ntakuwa cvui basi labda aondoke na akirudi tuu huyo nnalo mwilini kama nyonya damu vileee

Hahahaha umenikumbusha zamani nyonya damu......sasa nguvu za nini umo ndani kwamba ukimwambia mumeo hakuna kwenda bar au hakuna mchepuko basi kwisha
 
Back
Top Bottom