Ili uitwe baby/darling /sweetheart hapa mjini lazima uwe na vitu vifuatavyo

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
ILI UITWE BABY/DARLING /SWEETHEART HAPA MJINI LAZIMA UWE NA VITU VIFUATAVYO

1.CAR
Hii inakamata nambari moja, sababu inaact kama catalyst, inaspeed up other attachments to comply with ur intentions to that beautiful chick you want to hold on onto your life.

2.CASH
Hapa ndo main point hapa, mapenzi bila hela siku hizi ni sawa na gari bila matairi, hayaendi. Tusibishane katka hili, hata kama msichana wako hapendi pesa kiasi gani but lazima uwe na money za kuhandle petty expenses hata ikiwa ni dinner Nashera au voucher, la sivyo unaumbuka mjini. Hata hilo gari hapo juu halitakua na maana kama Cash iz a problem.

3.CLOTHES
Hapa Bro naongelea muonekano wako binafsi, ebu acha kupiga suruali zako za malinda sita zile ambazo hadi kuzivaa umegombana sana fundi Juma kwanza rangi zenyewe za suruali hudhurungi na raba kama wakimbia marathon.
Watoto wazuri bwana wanataka gentlemen haswaa, mzee wa kutokelezea, hata kama huna pamba kali basi ulizonazo wazipangiliaje. Hapa nadhani wadau waukweli watajua nazungumzia vitu kama Hermes, Pierre Cardin, Luis Vuitton, Tom Clanks, na chata ka hizo.... sio unatupia singlendi ya buku sh tano ina matobo kama neti na hupigi bafu, sahau matoto mzuri.

4.COMMUNICATION
Hapa sasa pana tatizo bwana, unajua communication nayoizungumzia hapa ni aina mbili, Verbal communication na Physical Accessories Communication watoto wazuri wa mjini wanapenda viingreza asikwambie mtu, wanamiksi yaani (tunaita code mixing)...kiswahili kidooogo then kiingereza kwa saana yabidi ujipange aisee.
Hizi like uuuuh.... mnh uknow... i kinda...uuuh... uwe vizuri mzeee la sivo utaishia kupata watoto wa Kichangani, Tandale kwa
Tumbo.... hiyo ya pili nazungumzia device sasa, Hapo jiulize unasimu ama unachombo cha mawasiliano? siku hizi wajanja tuna Apple, Samsung Galaxy, Htc, Huawei na vitu adimu ka hizo...sasa we komaa na simu zako za tochi utajuta...mtot anataka akuone mainsta nini sana.

5.CONFIDENCE
Hapa watoto wengi wakishua wanapata shida, confidence ni ability ya kuexpress ur feelings towards a girl looking at her eyes. Sasa kuna wajomba wanaona aibu mpka wanaume wenzao, sasa mtiti unakuja anapomit na mtoto mzuri hahahah. Kila kitu hapo juu anacho btu ame-lack confidence... Kalaghabao.

6.CHANCE
Chance bwana ni ile unakua na mchizi wako ana demu mzuri... halafu huyo demu ana rafiki yake mzuriii pia...aaaaaah hapo c kama kumpa Christiano Ronaldo na Laiton baines free kick..... Si maanishi kumpindua mwenzio. Communication also mean the chances you have in your life interms of education, employment e.tc

c&p
 
Wasiwasi mbaya sana inafikia kipindi utakikimbia kivuli chako.
 
hiyo ya pili nazungumzia device sasa, Hapo jiulize unasimu ama unachombo cha mawasiliano? siku hizi wajanja tuna Apple, Samsung Galaxy, Htc, Huawei na vitu adimu ka hizo...sasa we komaa na simu zako za tochi utajuta...mtot anataka akuone mainsta nini sana.
Kuna binti aliwahi kunishangaa eti kwanini natumia TECHNO! Jibu nililompa aliishiwa pozi na kujiona hamnazo.
 
7. Just be real and yourself, ujipende mwenyewe kwanza.. hapo unaweza ukawa na ivyo vitu ila kiuhalisia sio maisha yako.. mda si mrefu utafeli

Kuwa na pesa kunahitajika ila sio kutumia pesa kumvutia mtu mwingine

Love yourself and you will see how girls will react
 
Plan your future. Uzee unabisha hodi. Sio kufurahisha warembo. Try to save as much as possible. Nguvu zako za leo unazotumia kwenye push ups zingekufaa sana kesho yako ya 20 years later! Women are like a deep hole, you can't satisfy them. Wao wanapenda kupokea kwa sana. Once you are bankrupt they run away without a comfort! Get one for life. Kamata mwanamke mmoja mzuri, mpende, mpe matunzo, mheshimu, mthamini, muwezeshe kisha uone matokeo yake; Atakuwa na mvuto kuliko hao wanao pigiwa chapuo jijini dsm kwa mvuto ilhali ni magonjwa ya moyo. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
ILI UITWE BABY/DARLING /SWEETHEART HAPA MJINI LAZIMA UWE NA VITU VIFUATAVYO

1.CAR
Hii inakamata nambari moja, sababu inaact kama catalyst, inaspeed up other attachments to comply with ur intentions to that beautiful chick you want to hold on onto your life.

2.CASH
Hapa ndo main point hapa, mapenzi bila hela siku hizi ni sawa na gari bila matairi, hayaendi. Tusibishane katka hili, hata kama msichana wako hapendi pesa kiasi gani but lazima uwe na money za kuhandle petty expenses hata ikiwa ni dinner Nashera au voucher, la sivyo unaumbuka mjini. Hata hilo gari hapo juu halitakua na maana kama Cash iz a problem.

3.CLOTHES
Hapa Bro naongelea muonekano wako binafsi, ebu acha kupiga suruali zako za malinda sita zile ambazo hadi kuzivaa umegombana sana fundi Juma kwanza rangi zenyewe za suruali hudhurungi na raba kama wakimbia marathon.
Watoto wazuri bwana wanataka gentlemen haswaa, mzee wa kutokelezea, hata kama huna pamba kali basi ulizonazo wazipangiliaje. Hapa nadhani wadau waukweli watajua nazungumzia vitu kama Hermes, Pierre Cardin, Luis Vuitton, Tom Clanks, na chata ka hizo.... sio unatupia singlendi ya buku sh tano ina matobo kama neti na hupigi bafu, sahau matoto mzuri.

4.COMMUNICATION
Hapa sasa pana tatizo bwana, unajua communication nayoizungumzia hapa ni aina mbili, Verbal communication na Physical Accessories Communication watoto wazuri wa mjini wanapenda viingreza asikwambie mtu, wanamiksi yaani (tunaita code mixing)...kiswahili kidooogo then kiingereza kwa saana yabidi ujipange aisee.
Hizi like uuuuh.... mnh uknow... i kinda...uuuh... uwe vizuri mzeee la sivo utaishia kupata watoto wa Kichangani, Tandale kwa
Tumbo.... hiyo ya pili nazungumzia device sasa, Hapo jiulize unasimu ama unachombo cha mawasiliano? siku hizi wajanja tuna Apple, Samsung Galaxy, Htc, Huawei na vitu adimu ka hizo...sasa we komaa na simu zako za tochi utajuta...mtot anataka akuone mainsta nini sana.

5.CONFIDENCE
Hapa watoto wengi wakishua wanapata shida, confidence ni ability ya kuexpress ur feelings towards a girl looking at her eyes. Sasa kuna wajomba wanaona aibu mpka wanaume wenzao, sasa mtiti unakuja anapomit na mtoto mzuri hahahah. Kila kitu hapo juu anacho btu ame-lack confidence... Kalaghabao.

6.CHANCE
Chance bwana ni ile unakua na mchizi wako ana demu mzuri... halafu huyo demu ana rafiki yake mzuriii pia...aaaaaah hapo c kama kumpa Christiano Ronaldo na Laiton baines free kick..... Si maanishi kumpindua mwenzio. Communication also mean the chances you have in your life interms of education, employment e.tc

c&p
Nómbre Uno (1) & nómbre dós (2),to me are so underated, all those things my dad had dem, nikitaka NAPATA, so why should I love some ati KISA ana ndinga na ganji? Only backwards girls can do that but not me.
 
Back
Top Bottom