Wanaume, zingatieni usafi

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Yaani unajua inakera, unakuta chalii mchafu, ananuka makwapwa, ananukisha viatu, vest haijaoshwa kitu kama wiki mbili, hiyo Gotha ndo usiseme, after hiyo yote ati mkiwa bed na enyewe wewe unataka uchezee mwili.

Unakuta zile uchafu bado ziko hata kama katoka shower sahiyohiyo, by the way ukiendelea kuimagine na ile harufu za makwapwa na viatu, appetite inapotea.

Please men style up, tunahitaji mchezo wenu kiasi in a comfortable way.
 
naona umetuamulia aisee, tatizo lako unakutana na wanaume wa kwa mtogole, popobawa, kwa tumbo na wengine barabara hiyo ya T/UZURI, hamia huku Morogoro Road
 
Yaani unajua inakera, unakuta chalii mchafu, ananuka makwapwa, ananukisha viatu, vest haijaoshwa kitu kama wiki mbili, hiyo Gotha ndo usiseme, after hiyo yote ati mkiwa bed na enyewe wewe unataka uchezee mwili, unakuta zile uchafu bado ziko hata kama katoka shower sahiyo hiyo, by the ukiendelea kuimagine na Ile harufu za makwapwa na viatu, appetite inapotea. Pls men style up, tunahitaji mchezo wenu kiasi in a comfortable way.
Asante tumekusikia dada
 
Ni yule kijana wako wa daladala? usijali mvumilie tu siku hizi akienda kupumzika mchana jioni hutakula na hiyo kodi ya nyumba hataweza lipia. Mvumilie tu kwani wanasema; mvumilivu hula mbivu
 
Yaani unajua inakera, unakuta chalii mchafu, ananuka makwapwa, ananukisha viatu, vest haijaoshwa kitu kama wiki mbili, hiyo Gotha ndo usiseme, after hiyo yote ati mkiwa bed na enyewe wewe unataka uchezee mwili, unakuta zile uchafu bado ziko hata kama katoka shower sahiyo hiyo, by the ukiendelea kuimagine na Ile harufu za makwapwa na viatu, appetite inapotea. Pls men style up, tunahitaji mchezo wenu kiasi in a comfortable way.
Umeshakutana na men hamsini na ngapi za namna hiyo?
 
47pro topic zako humu jamvini kutuhusu wanaume ni chachu zaidi ya siki,tumekukosea nini?Kama mchafu si unanipeleka bathe mbona sie huwa tunawapeleka na kuwaogesha tunawaogeshaa?sio vizuri unatuonea.
 
Ni kweli usafi una-play part kubwa sana kwenye hiyo ila nadhani madhara ya kuwa mchafu ama kutokuoga kama ulivyosema mtoa mada ni makubwa mbaya kwa mwanamke kuliko mwanaume..Yaan ukutane na demu mwenye sifa hizo ulizotaja hapo juu...Si tu utashindwa fanya kitu lazima uzimie kabisa...
 
47pro topic zako humu jamvini kutuhusu wanaume ni chachu zaidi ya siki,tumekukosea nini?Kama mchafu si unanipeleka bathe mbona sie huwa tunawapeleka na kuwaogesha tunawaogeshaa?sio vizuri unatuonea.
Jamani!! Am sooooory.

Kuna chalii anaitwa SIFONGO aki alienda wapi?
 
pole sana kwa yaliyo kukuta . kwani huwa unafanya bei gan nina hakika hujaolewa thats why una experiences na huo uchafu au im wrong ??
 
Hivi jf ipo mpaka kwa uhuru???
Kwani si app unaeza download play store, by the way hata Tanzania mbona Nyumbani mwaya? Au kukaa huku nako kunakufaanya uonekane wa huku, japo Hatujapogwa jams kwenye national language, ninaelewa Sheng.
 
Hata ww ungekua hujui kufua au kuosha vyombo au kupika angekufundisha kwa busara.

Hvyo kama ni mtu wako wako wa kudumu kaoge nae,msaidie kushave,Mnunulie manukato na sabuni nzuri
Msisitize asirudie nguo.
Mwanaume ni kama mtoto unaweza mbadilisha vile unataka siri ni upole,busara na hekima unapo muambia

Kila la kheri ila kama una UZA jikaze tu.kila kazi ina changamoto zake.ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom