housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,191
Nilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi kwanini)
Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32.
Ukiuliza anapotezea anasema tu "mimi kweli nina 34". Alivyoniambia ana 32 nikazungusha tu macho.
Kwanini adanganye? Ni rafiki tu.