Natafuta rafiki wa kike anayejitambua

pondiboy

Member
Feb 26, 2014
81
28
Si mara yangu ya kwanza wala ya pili kujitokeza katika jukwaa hili, sijafanikiwa bado natafuta..
Natafuta msichana anayejitambua, awe matured! awe mkweli mcha Mungu wa kweli, awe at least form six.. asiziwe above 27yrs old, asiwe mfupi...
kama upo interested basi nipm nitakueleza kuhusu mimi..
 
Mung akupatie sawa na hitji lako la moyo .Utafuteni kwanza ufalme wa Mung hivi vyote mtapatiwa. Tafuta uso wa Mung yeye ndo atakupa mwenye hofu ya Mung! Humu ndan weng n wanafiki!
 
Si mara yangu ya kwanza wala ya pili kujitokeza katika jukwaa hili, sijafanikiwa bado natafuta..
Natafuta msichana anayejitambua, awe matured! awe mkweli mcha Mungu wa kweli, awe at least form six.. asiziwe above 27yrs old, asiwe mfupi...
kama upo interested basi nipm nitakueleza kuhusu mimi..
usikate TAMAA mkuu...
utampata tu..!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom