Ikiwa wanaume tunahitaji kusaidiwa kifedha na wanawake je tutabaki na jukumu gani?

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,726
Nawaza tu ,hivi itakuaje?ikiwa kama akina dada watakubaliana na hili suala la kuwajibika kifedha katika majukumu ya maisha ya kila siku ndani ya nyumba 100%

Ikimbukwe wakati Mungu anamfukuza Adam na Hawa bustani ya edeni baada ya kula tunda la mti wa katikati (genesis 1:...) Kila mmoja alipewa majukumu yake (basic tasks) kama ifuatavyo "We Adam utakula kwa jasho lako na utakufa,Eva wewe utazaa kwa uchungu "

Ni mamilioni ya miaka imepita hawa wenzetu hawajadai kusaidiwa kubeba mimba japo huzaa kwa uchungu sana ( equivalent to 50 breaking bones pain) ila sisi kila siku tunalalamika kuchunwa na kupigwa mizinga .Come on guys let's win it tufanye ni challenge and transform it into motivation

Kuendelea kulialia na kulalamika ,huna tofauti na illuminats ambao wana implement New World Order kwa kubadilisha nature ya maisha ya binadamu,huu sio muda wa white kuwa Black wala umarioo,If we need "control and power "ukiendelea na mwendo huu hata jinsia yako unaweza ukadhaminiwa bure.....!!
 
Bora ulivowachana hawa wanaume wa cku hz,wanalialia km wtt wa kike,kutimiza jukumu alopewa na mungu anaona anakandamizwa,kutwa kulilia papuchi,ovyoo akikujua una mshahara ndo kabisa yeye ndo anageuka demu kupiga mizinga
 
Duh yataka moyo,ila na wale ambao kwa hiari yao wanachangia nusu ya mishahara ili kuchangi matunzo ya familia,ao wanaume una waongeleaje?
 
Wewe mleta mada Biblia gani hiyo inasema mwanamke asifanye kazi mbona unadanganya watu? soma mithali 31
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom