Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

KIDHEHA

Member
May 21, 2012
51
14
Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
 
Mkuu muda wote huo ulikua wapi aisee?
Inaonekana una hela eeh kama unazo oa tu maana hata ukiwa na miaka 60 unaeza oa hata wa miaka 9 money talks ila jiandae na heart attack
 
Miaka hiyo kama ni mwanachuo nakushauri usimuoe maana atakusumbua sana!, bado hajafurahia ujana wake. Kama yupo nje ya hiyo sentensi yangu ya awali nakushauri umuoe maana ni saizi yako!. All the best, nipo nyuma yako soon nitamwaga radhi
 
Si unajua kina mama wanazeeka mapema akishajaliwa tu mtoto age difference haitaonekana kabisa na mtazeeka pamoja kama watu wa umri mmoja....Vuta mama chap..
 
mkuu ukiamua kupiga chini tafadhali nipatie ka namaba make mi bado bado kidogo by the time nataka kuoa katakua kamekua kakubwa kiakili na uchumba utakua umekomaa. tafadhali zingatia hilo!!!
 
Umedanganya watoto wa watu huko sasa unataka oa innocent,oa tu utaisoma namba akuletee tamthiliya huko kipindi hicho we kwisha kabisa..oa wazee wenzako
 
Back
Top Bottom