Namna ya kumfanya mtoto anayezaliwa aweze kuwa na kumbukumbu ya baba na mama

gynest

Member
Mar 19, 2016
11
2
Habari wana jamii forum, LEO nataka niwape somo ambalo pengine wengi wenu hamkubahatika kufahamu. Katika urithishaji wa kumbukumbu kwa mtoto anayezaliwa limekua ni jambo ambalo kwa asilima kubwa halifahamiki kwa wafrka wengi, hii pia imetokana na madaktari wengi kutofundishwa vyuoni, pengine hats walimu wao hawjui. Labda niseme kwann wengi hawajui, ni kwa sababu kipengele hiki hakipo ktk masomo yetu kuanzia chini mpaka vyuoni kwa hapa afrika. Wazungu wameweka kuwa siri, wanataka wao tu ndio waweze kujua na kurithishana, wanakisomea kwa siri sana. Ni somo muhimu sana kwao. Nirudi kwenye somo lenyewe. Ukitaka kumrithisha mtoto wako kumbukumbu za baba namama, zingatia haya kwa makini,, " Mama anapokua na ujauzito, baba unatakiwa kuwa karibu sana mama. Wakati wa kujifungua ukifika, Mara tu mama anpokua amejifungua kabla ya kukata lile kondo, mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto kwa msaada wa daktari titi la kulia ili mtoto aweze kupata kumbukumbu za baba baada ya hpo atahamishia titi la kushoto ili kupata za mama. Baada ya kitendo hicho daktari atakata kondo kama kawaida. NB: daktari ni lazima awe amesomea kipengele hiki. Sasa nini kazi yake. Tulia utaelewa tu. Ukifanya kama ilivyoelezwa hapo juu. Mtoto atakua kama ifuatavyo. Atachukua kumbukumbu zote za wazazi mfano, wewe baba hata ungeficha vipi kitu, mtoto wako atakipat kwa uraisi sana utafikiri yeye ndo ameweka kwasabu amechukua kumbukumbu zako zote, kitu chochote utakachofanya atajua tu mfano mwingine ni kuwa hata ukitoka nje ya ndoa ukafanya mapenzi mtoto huyu atajua umetoka kufanya, kwani mnashare asilimia kubwa ya kumbukumbu, kumbuka hii ni kwa wote baba au mama, jaribuni kufanya hivyo mtaona matokeo yake. Wazungu hufanya hivi ili kuwarithisha watoto wao mambo yote waliyopitia, madaktari ili muweze kuamini haya fanyeni utafiti wa kina hasa ktk nchi za ulaya hasa ujerumani, kwani wao hutumia sana njia hii. Alafu rudisheni feedback. Najua wengi mtachallenge lkn ukweli ndo huo, ni kitu kigeni afrika jifunzeni.
 
Mmmmmmmmmmmmmmh

Anyway hizo kumbukumbu za baba na za mama zinamsaidia nini mtoto????
 
Hizo ni imani tu kama imani nyingine zisizo za kisayansi.

Hiyo inaitwa bonding. Bonding inafahamika kuboresha mahusiano ya wazazi na mtoto, lakini sio kwa jinsi ilivyoelezewa hapo juu.

By the way, mahusiano ya wazazi na watoto Afrika ni mazuri in many aspects kuliko ya Ulaya.
 
Habari wana jamii forum, LEO nataka niwape somo ambalo pengine wengi wenu hamkubahatika kufahamu. Katika urithishaji wa kumbukumbu kwa mtoto anayezaliwa limekua ni jambo ambalo kwa asilima kubwa halifahamiki kwa wafrka wengi, hii pia imetokana na madaktari wengi kutofundishwa vyuoni, pengine hats walimu wao hawjui. Labda niseme kwann wengi hawajui, ni kwa sababu kipengele hiki hakipo ktk masomo yetu kuanzia chini mpaka vyuoni kwa hapa afrika. Wazungu wameweka kuwa siri, wanataka wao tu ndio waweze kujua na kurithishana, wanakisomea kwa siri sana. Ni somo muhimu sana kwao. Nirudi kwenye somo lenyewe. Ukitaka kumrithisha mtoto wako kumbukumbu za baba namama, zingatia haya kwa makini,, " Mama anapokua na ujauzito, baba unatakiwa kuwa karibu sana mama. Wakati wa kujifungua ukifika, Mara tu mama anpokua amejifungua kabla ya kukata lile kondo, mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto kwa msaada wa daktari titi la kulia ili mtoto aweze kupata kumbukumbu za baba baada ya hpo atahamishia titi la kushoto ili kupata za mama. Baada ya kitendo hicho daktari atakata kondo kama kawaida. NB: daktari ni lazima awe amesomea kipengele hiki. Sasa nini kazi yake. Tulia utaelewa tu. Ukifanya kama ilivyoelezwa hapo juu. Mtoto atakua kama ifuatavyo. Atachukua kumbukumbu zote za wazazi mfano, wewe baba hata ungeficha vipi kitu, mtoto wako atakipat kwa uraisi sana utafikiri yeye ndo ameweka kwasabu amechukua kumbukumbu zako zote, kitu chochote utakachofanya atajua tu mfano mwingine ni kuwa hata ukitoka nje ya ndoa ukafanya mapenzi mtoto huyu atajua umetoka kufanya, kwani mnashare asilimia kubwa ya kumbukumbu, kumbuka hii ni kwa wote baba au mama, jaribuni kufanya hivyo mtaona matokeo yake. Wazungu hufanya hivi ili kuwarithisha watoto wao mambo yote waliyopitia, madaktari ili muweze kuamini haya fanyeni utafiti wa kina hasa ktk nchi za ulaya hasa ujerumani, kwani wao hutumia sana njia hii. Alafu rudisheni feedback. Najua wengi mtachallenge lkn ukweli ndo huo, ni kitu kigeni afrika jifunzeni.

Nitaongea Na Dr. wangu baada ya kufanya utafiti. Ahsante Sana gynest
 
Nimeisoma soma yote hujasema ina mchango gn ktk maisha!

......kumbuka hii ni kwa wote baba au mama, jaribuni kufanya hivyo mtaona matokeo yake. Wazungu hufanya hivi ili kuwarithisha watoto wao mambo yote waliyopitia....
 
Habari wana jamii forum, LEO nataka niwape somo ambalo pengine wengi wenu hamkubahatika kufahamu. Katika urithishaji wa kumbukumbu kwa mtoto anayezaliwa limekua ni jambo ambalo kwa asilima kubwa halifahamiki kwa wafrka wengi, hii pia imetokana na madaktari wengi kutofundishwa vyuoni, pengine hats walimu wao hawjui. Labda niseme kwann wengi hawajui, ni kwa sababu kipengele hiki hakipo ktk masomo yetu kuanzia chini mpaka vyuoni kwa hapa afrika. Wazungu wameweka kuwa siri, wanataka wao tu ndio waweze kujua na kurithishana, wanakisomea kwa siri sana. Ni somo muhimu sana kwao. Nirudi kwenye somo lenyewe. Ukitaka kumrithisha mtoto wako kumbukumbu za baba namama, zingatia haya kwa makini,, " Mama anapokua na ujauzito, baba unatakiwa kuwa karibu sana mama. Wakati wa kujifungua ukifika, Mara tu mama anpokua amejifungua kabla ya kukata lile kondo, mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto kwa msaada wa daktari titi la kulia ili mtoto aweze kupata kumbukumbu za baba baada ya hpo atahamishia titi la kushoto ili kupata za mama. Baada ya kitendo hicho daktari atakata kondo kama kawaida. NB: daktari ni lazima awe amesomea kipengele hiki. Sasa nini kazi yake. Tulia utaelewa tu. Ukifanya kama ilivyoelezwa hapo juu. Mtoto atakua kama ifuatavyo. Atachukua kumbukumbu zote za wazazi mfano, wewe baba hata ungeficha vipi kitu, mtoto wako atakipat kwa uraisi sana utafikiri yeye ndo ameweka kwasabu amechukua kumbukumbu zako zote, kitu chochote utakachofanya atajua tu mfano mwingine ni kuwa hata ukitoka nje ya ndoa ukafanya mapenzi mtoto huyu atajua umetoka kufanya, kwani mnashare asilimia kubwa ya kumbukumbu, kumbuka hii ni kwa wote baba au mama, jaribuni kufanya hivyo mtaona matokeo yake. Wazungu hufanya hivi ili kuwarithisha watoto wao mambo yote waliyopitia, madaktari ili muweze kuamini haya fanyeni utafiti wa kina hasa ktk nchi za ulaya hasa ujerumani, kwani wao hutumia sana njia hii. Alafu rudisheni feedback. Najua wengi mtachallenge lkn ukweli ndo huo, ni kitu kigeni afrika jifunzeni.
kwa mababa wengi wa kiafrika mtoto atakosa kitu cha kurithi zaidi ya maumivu ya ugumu wa maisha.ni heri tuendelee hivihivi
 
upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom