The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,894
- 19,058
Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu.
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchache kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara simu imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta.
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natuma hela za kujaza ndege mafuta.