Ukweli mgumu/hardest truth

Ukweli mgumu/hardest truth

mujimali

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
190
Reaction score
116
Habari zenu wanaJF. Eti ni ukweli gani mgumu(hardest truth) ambao ushawahi kuambiwa either kwenye mahusiano, eneo la kazi, shule, mtaani n.k.? I mean jambo ambalo uliambiwa likawa gumu kulipokea au hata kulisahau pia, lakini mwisho wa siku ilibidi ukubaliane nalo kwa sababu ndo ukweli wenyewe.

Asanteni.
 
Sikumbuki kuambiwa ujinga sababu ukiniambia tu ujiandae kujirudia kwako Tena Kwa vitendo
 
kwamba ulevi mbaya nikaona nazinguliwa ila nayaona waz madhara yake .......
 
Siku nivyoambiwa lowasa kashindwa
Dahhhh!!!!
 
Back
Top Bottom