Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha Vigezo Awe mweusi na mnene...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpaka Leo nimeshindwa Kuelewa Kwanini vijana wengi wa sikuhizi wanaishi maisha ya kutafuta attention ata katika mambo ambayo kimsingi hayaitaji sifa wala mijadala ya kubuguzi wengine mfano unakuta...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimecopy na kupaste. Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lin? Wengine wakasema leo asubuh,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini dada zangu, Kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni, Kwa dada zangu wanaotumia angels pad hivi kile kipimo kilichomo kwenye pad za angels kinatumika kupima nini hasa? Kwa wale...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi...
9 Reactions
136 Replies
11K Views
Assalam Alaykum kwa ndugu zangu wanaoelekea mwisho wa mfungo (Tumsifu Yesu kristo kwa ndugu zangu tuonaosali siku ya j.pili.) Sipendi kuwachosha twende moja kwa moja kwenye Ilikua j.pili...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana MMU, natumaini mko poa kabisa. Kuna swala kidogo naomba tujadili. Ni hivi kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi ila uvumilivu na upendo ndo inatufanya tuendelee kuwa pamoja. Swala...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakuu mpo? Siku nyingi ila nipo nang'ang'ana na maisha. Nimeoa na nimejaliwa watoto wawili. Nimeajiriwa na moja ya NGOs muhimu nchini. Hii inamaana naikimu familia vizuri. Mke wangu naye...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Wadau nawasalimu, poleni na majukumu Kuna huyu msichana hapa kwenye shirika letu aliwahi kuwa mpenzi wangu yapata miaka 2 sasa, akarubuniwa na zee moja hivi lenye cheo na akaamua kuniacha...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika pirika zangu za kukutana na wanawake wa aina zote.nimekutana na hadi wake za watu.kinachonisukuma kuweka hii thread ni kwamba tunaambiwa "ukiwa unagonga wake za watu basi na wa kwako...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama maada inavyojieleza. Mimi jinsia yangu ni me. Nahitaji na mwanadada msomi mpweke wa kubadilishana mawazo. Na kupeana mawazo namna ya kukabiliana na changamoto za maisha aliyetayari...
1 Reactions
4 Replies
969 Views
Kama hujawahi kupigwa na mmeo, shukuru Mungu. Hali hii ndiyo ipo mkoa wa Mara, kabila la kikurya ambapo wanawake wamekuwa wakipigwa na waume zao. Wanaume wengi huwa hawachagui cha mkumpigia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kilasiku najiuliza swali hili jibu sijapata, nifanye nini mke wangu ajue nampenda?
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Wasalaam wanabodi, Awali ya yote kama tujuavyo kuna msemo unasema kila kitu kina pande mbili yaani (+ve) na (-ve), hivyo hata Udikteta kuna Udikteta +ve na Udikteta -ve. Tujadiliane Udikteta +ve...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanawake wengi ni wavumilivu na ni wasiri mno. Wapo wanaopigwa,wapo wanaonyimwa pesa ya matumizi,wapo wanaingiziwa vimada ndani ya nyumba,au kushuhudia mumewe na kimada.wapo wanaonyimwa unyumba...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni wiki chache nilileta uzi hapa kua binti niliezaa nae alitokea kaniambia tukate mawasiliano nae maana amepata mwanaume na wamependana sana na mwanaume kakubali kumwoa na kulea mtoto tulimbana...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Hivi Jamani ninaswali unapoachana na mtu Kuna haja ya kuwekeana chuki hata msisalmiane? Hasa kama ulimpenda mtu akakuacha je utaendelea kumuona wa kawaida Au Ni sawa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale wote wenye nyeti fupi ninayo dawa ya kurefusha inakua ndefu na Nene kama ya punda Hata wenye nyeti za kawaida pia nazirefusha kwa dawa maalum na kuwa ndefu na Nene Pia akina Dada...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Back
Top Bottom