manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 680
Ni wiki chache nilileta uzi hapa kua binti niliezaa nae alitokea kaniambia tukate mawasiliano nae maana amepata mwanaume na wamependana sana na mwanaume kakubali kumwoa na kulea mtoto tulimbana ikabidi nikae kimya kama wadau apa walivyonishauri.
Badae nikaona tunaanza wasiliana kwa jeuri kama kawaida nikatuma matumizi ya mtoto nikamtumia yeye nikaona asante nyingi alafu nikajifanya bize sipigi simu akaanza kujileta mwenyewe kuwa ni hasira nini tusameheane nikamwambia poa nikaendelea piga kimia sasa ananipigia simu tuonane mtoto anahamu ya kuniona pia kamiss gem.
Niliamua kupotezea kumwambia nipo bize siwezi enda kama matumizi ya dogo ni kama kawaida nitatuma sasa najiuliza je huyo mwanaume aliejitolea kuoa na kulea inakuaje? Na je nifanyeje kumpotezea maana now sitaki kumsaliti wife tena maana wife ni mjamzito na mapenzi yamehamia kwake sana.