juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Katika pirika zangu za kukutana na wanawake wa aina zote.nimekutana na hadi wake za watu.kinachonisukuma kuweka hii thread ni kwamba tunaambiwa "ukiwa unagonga wake za watu basi na wa kwako atakuja kugongwa tu" sasa naogopa maana ina maana na mimi wa kwangu nikioa watu si watamtafuna? Na mtu uking`atiwa inauma asikwambie mtu bwana!!sasa fikiria mtu upigiwe mkeo itakuwaje hapo? Ila katika hao wake za watu wote niliowapakua naona wote wanawasema waume zao vibaya,yaaji wanawakandia sana na kitu hicho nimegundua wote wanaongea maneno hayohayo na hii maana yake ni kwamba ni wazushi tu.kwa maantiki hiyo mimi kuoa sitaki na sitaweza,kwanza nina watoto watatu tayari na mwingine ndio huyo yupo tumboni anakuja.sasa nioe ili iweje wakati ntakuwa na watoto wanne tayari tena wa mama tofauti? Na huyu wa tumboni akiwa wa kike ntampa jina la mama yangu na akiwa wa kiume ntamwita freaky star