Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.