I wish i could love u unconditionally


Toragamaganza

Toragamaganza

Member
Joined
May 28, 2016
Messages
99
Likes
72
Points
25
Age
48
Toragamaganza

Toragamaganza

Member
Joined May 28, 2016
99 72 25
Assalam Alaykum kwa ndugu zangu wanaoelekea mwisho wa mfungo (Tumsifu Yesu kristo kwa ndugu zangu tuonaosali siku ya j.pili.)

Sipendi kuwachosha twende moja kwa moja kwenye

Ilikua j.pili kama saa nne na nusu natoka kupata chai nikakutana na mdada mmoja ambae macho ayakuchoka kumuangalia sana sababu ya uzur wake(mweupe,anamwanya,pia kiuno kilikuepo,mfupi)

Nilimpita kama atua tatu ilinione kama kweli amejaliwa neema za allah, ndo ugonjwa wangu jaman.Kweli alikua na kile nilichokipenda kutoka kwa mwanamke wa ndoto zangu.

Ningelijutia kama nisingelirudi nyuma kumfata na kuongea nae.Nilimkuta akiongea na mlinzi wa hospitali kama anaweza kwenda kuonana na mgonjwa wake.

Alikataliwa sababu mda ulikua ushaisha wa kuonana na wagonjwa,niliongea na mlinzi kwamba naomba niingie nae make mgonjwa ni ndugu yetu,Sikuweza kukatiliwa sababu mm ni hospitali ilikua ya chuo na pia mazoezi tulikua tunafanyia pale.

Nilishukuru mungu mlinzi kunikubalia make alinipa credit katika kutimiza lengo langu.Nilimsindikiza na maongezi yakaanzia hapo.
B"-mambo
Astelia-poa(akitabasamu )
B"-unaitwa nani?
Astelia-Naitwa Astelia
B" -Ohoo jina zuri(nilikumbuka tamthilia moja kuna mda alikua anaitwa Astellitha)

Astelia-asante ikisindikizwa na tabasamu zito.
B-ok Astelia nilikua naomba namba yako ili tuweze kufamiana zaidi
Astelia-mhmmm....... akifilia kidogo akanipa(niliamini awezi kataa kwa sababu nilimsaidi)
B-ok asante

Tukaagana aende kumuona mgonjwa wake,niliona nisimsindikize make maswali yangekua mengi kwa yule tuliyeenda kumuona(mgonjwa)

Jioni yake nilimpigia simu kujua siku yake imeendaje,alinihadithia yaliyojiri siku usika.

Tuliendelea kuwasiliana kama week moja hivi,Tulifahamiana na alikua amemaliza kidato cha nne akisubiri shule kufunguliwa make alikua amefaulu.

Baada ya kuona siku zimeenda kidogo niliomba kuonana nae.Kimbembe kikaanza hapooo...

Niliambiwa yuko busy na kesho yake angeenda wilaya nyingine kumuona mama yake.

Sikukata tamaa tulizidi kuwasiliana hapa na pale,mama yake aliniambia ni mgonjwa aliitaji kufanyiwa operation.I was touched on her mum's condition as i could be touched on anyone
Nilipenda kujua mama yake anaendelea sababu nilichukulia kama mama angu mzazi akiwa katika ile khari ninavyoweza kukosa furaha.

Of course niliumia sana,so ilibidi niwe naulizia kila siku mama anaendeleaje.

Alipenda nilivyomjali mama ake kupelekea kuniuliza mm kabila gani.

Ohoo kweli?(Ni baada ya kumwambia mm ni msukuma.)
Mhmmm mbona hafanani na wasukuma unafanana na wanyarwanda?

Ahaaa nikacheka kidogo nikimjibu hapana mi msukuma(ni kweli baba angu ninefanana nae kucha tu na videvu kidogo)Nimefanana sana na mama(Mtusi)plus shingo ndefu niliyonayo.

Toka siku hiyo alipenda kuongea sana na mm niliona make masaaa hayakupita bila kupokea simu au ujumbe mfupi kutoka kwake.
She made me happy sijui tu kwa nini sema tu moyo ulimpenda nijikuta ukimpenda sana.

Baada ya siku chache aliniambia amerudi kutoka alikokua akiishi mama yake.Nilifurahi make nilijua ndo ulikua mwanzo wa kuonana nae.

Nilimuomba kama naweza kuonana nae alikubali bila kipingamizi make nilikua nishamkolea kichwani(unaona tu jaman kama mtu anakupenda).

Siku ilipowadia nilifikiliwa sehemu nzuri ya kwenda jibu lilikuja tu pale pale,sikua na sehemu nyingine zaidi ya Khari ya hewa(ipo sehemu kuna miti mingi na upepo mzuri).

Alikuja tuliongea mengi sana kila nilipotaka kumwambia yalioko moyoni niliogopa nikashindwa mpaka ulipofika mda wa kuondoka.

Nilijiona mjinga kama nitashindwa kumwambia ya moyoni wakati kutongoza tongoza ndo ilikua tabia yangu(nilijishangaa kua muoga kwa huyu mrembo)

Wakati namsindikiza niliamua kutoa ya moyoni,niliyojibiwa yaliniumiza moyo sana.Kwa sasa B" haiwezekani.Kumuliza sababu nikizani labda sababu inawezakua anamtu aliniambia hapana yeye kwa sas mapenzi bado sana.

Alikua serious,nilibembeleza wapi niliishia kuambiwa tuwe marafiki.Jibu analopewa mtu yoyote aliyekataliwa.

Niliumia sana lakin nilimwambia.I can't be your friend.Nichukulie utakavyo lakin sikatakua mpezi wako sababu umekataa wala rafiki yako.

Alitabasamu akasema sawa.
Sijui sababu ilikua nini lakin haikunivunja moyo kuwasiliana nae.Tofauti na mahusiano mengine make nikijibiwa hivyo sioni sababu ya kuendelea kumtafuta mtu.

Siku zilienda kama mwezi mmoja na siku hivi ukalibu wetu ulikua zaidi na bado tulikua tunawasiliana.

Siku moja week end naenda kunywa chai ilibidi nimuulize hivi Astelitha(nilipenda kumuita ivyo) hivi unataka upendweje? Make nakupenda hivi lakini hujawai kunipenda.

Ohooo jibu nililopewa nilifurahi asikwambie mtu.. ohoo mbona na mim nakupenda.

Duh... sasa mbona siku zote hujaniambia asema ohoo mi nilizani we mwenyewe ushaona.

Asee i was the happiest Dude in the world,this is after she said yes to me.

Three days later alikua anaeenda shule so ilikua kuagana.Tuliongea mengi mda ulipofika wa kwenda kwao nilimuomba aniage kwa kunikiss make i knew she could say no to sex ehee... kilikua kimbembe aliniambia ohoo nitakukiss siku nyingine while she know we won't see each other till six months.

Eti labda shavuni ohoo no sikukubali asee so akaondoka.

Usiku wake tuliongea sana,siunajua mambo ya kuagana tena.The love was in the Air.

Aliniambia asubui yake anasindikizwa na baba yake.Her dad loves her so much kwa story alizokua ananipa make alikuaanaongozana nae kila wakienda kuhemea.

Nilimwambie ningekua kituo cha bus asubui yake mim pia nimwaage.Alifurahi sana
Asubui yake nilienda kituo cha bus,ilikua saa 11 asubui baada ya wazazi wake kuondoka alikuaja tuakapiga story kidogo na gari likiaanza kukata kona kwa safari.Alikimbilia gari na kupanda tayari kwa safari.

Nilipungiwa mkono dirishani nikijipa moyo nitaiona furaha yangu baada ya miezi sita.

Itaendelea......
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,423
Likes
14,697
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,423 14,697 280
Ungeanza kupost IJUMAA saaa hizi weekend inaisha
 
kishaija

kishaija

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,012
Likes
995
Points
280
kishaija

kishaija

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,012 995 280
iko pouwa,bas endeleaaaa...
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,628
Likes
16,369
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,628 16,369 280
Mbona huendelei sasa?
 
BATTO

BATTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
248
Likes
54
Points
45
BATTO

BATTO

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
248 54 45
Bila shaka itaendelea baada ya miezi sita.,
 
juan moses

juan moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Messages
2,421
Likes
2,172
Points
280
Age
26
juan moses

juan moses

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2014
2,421 2,172 280
We Mjamaa Bwana.
Kumbe Hata Hujamgonga.
Ungetumia Hata SEXDROP Unamuwekea Mtoto Kwenye Kinywaji Tu.
LIBIDO Inakuwa Enhanced Annaanza Mwenyewe Kaka Naomba "Ntombile" Unajivutia Kiulainiiii Kama Unanawa....
Sometimes You Got To Be Ruthless.
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
18,720
Likes
8,792
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
18,720 8,792 280
Inaendelea wapi...???
 
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
2,249
Likes
3,979
Points
280
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
2,249 3,979 280
Boooooooooooooooooooooooooooooooring!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tzfanatic

tzfanatic

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
618
Likes
351
Points
80
Age
26
tzfanatic

tzfanatic

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
618 351 80
We Mjamaa Bwana.
Kumbe Hata Hujamgonga.
Ungetumia Hata SEXDROP Unamuwekea Mtoto Kwenye Kinywaji Tu.
LIBIDO Inakuwa Enhanced Annaanza Mwenyewe Kaka Naomba "Ntombile" Unajivutia Kiulainiiii Kama Unanawa....
Sometimes You Got To Be Ruthless.
Kiongozi hizo sex drop yapatikana maeneo gani kwa dar
 

Forum statistics

Threads 1,236,841
Members 475,301
Posts 29,269,572