Jana nimemwona BELE9 amepaka ile rangi nyekundu kwenye lips kama wanavyofanya wanawake! Kina dada hebu niambieni hiyo rangi ni ya kazi gani na je inaleta picha nzuri kwa mwanaume kupaka?
Nilizoea...
Uso mkunjufu ni alama ya furaha na amani moyoni,utaonekana mwenye furaha hata nje sababu kilichopo moyoni huonekana usoni,kuna wanawake wengi wenye elimu nzuri na kazi nzuri na Mungu amewapa...
RIWAYA: SIKU YA GRADUATION
MTUNZI: MAUNDU MWINGIZI
SEHEMU YA KWANZA
"Yaani kweli RAMLA Umeamua kunitenda kiasi hiki!!, pamoja na mapenzi yote niliyokupa lakini umeamua kunisaliti!, nimepoteza...
Habarini,
Asilimia kubwa ya mahusiano, normally mwanamke anakuwa ni passive investor, na mwanaume anakuwa ni active investor, tangu mwanzo wa mahusiano mwanaume ndo wa kuanzisha conversation...
Mtoto wa kike azaliwapo tu anatakiwa kuandaliwa kuwa mama bora na mwanamke shupavu mwenye kujitambua,na kujua kuutunza usichana wake na haiba yake ya kike bila kusahau kuwa na shabaha ya...
Wanaume wengi ambao hujifanya wajinga huwa waerevu daima na wanaume wengi ambao hujifanya wajanja huwa wajinga daima,sababu kuna ukubwa wa mwili na udogo wa akili ,harafu kuna udogo wa mwili na...
Wakuu naomba tupeane uzoefu wa upatikanaji wa lodge nzuri hapa mjini mabazo mtu ukipata mechi za ugenini unaweza kuwahi kuzicheza bila kupata shida.
Lodge nazoongelea hapa ni zile standard zenye...
Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!
Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.
Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai...
Habari hapa Jukwaani,
Leo natoa pongezi kwa madada poa, kwangu nawatambua kama "watoa huduma za dharura".
+Kutokana na wanawake wengi kujihusisha na shughuli za kiuchumi, penzi linapatikana...
Wakuu,
Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi, nina msichana wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi...
Happy 7 7 day,
Nauliza tu hivi hali hii ya wapendanao huwaga nikujihisi/ kujihami/ aibu/ kujistukia?Mmegombana nyie we! Hakuna aliekubali kushuka na kumsikiliza mwenzie hadi kupata suluhu na...
Kama kuna kitu kinachoreusha ndoa za watu ziendelee kushine ukiacha mapenzi ya Mungu kwangu mimi upendo na 'password' za simu zimesaidia sana kurefusha ndoa zilizopo leo hii kuwa hai.
Else...
happy 7 7 day!!!!!! nauliza tu hivi hali hii ya wapendanao huwaga nikujihisi/ kujihami/ aibu/ kujistukia?????? mmegombana nyie weeee!!!! hakuna aliekubali kushuka na kumsikiliza mwenzie hadi...
Hii ikoje wadau,
Kuna rafiki yangu mmoja anaishi nyumba za kupanga maeneo fulani jijini Dar, mwanzo alipenyezewa ubuyu na dogo mmoja mpangaji mwenzake kwamba, mkewe kila mara huletewa chips na...
Naamin asilimia kubwa ya wana Jf wana ma ex grl friends/ex boyfriends,
Sasa wadau tubadilishane uzoefu kwann ulimuacha grl friend/boy friend au kwanini alikuacha grl friend/boy friend wako
karibuni...
Habari Wakuu!
Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?
Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?
Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.