happy 7 7 day!!!!!! nauliza tu hivi hali hii ya wapendanao huwaga nikujihisi/ kujihami/ aibu/ kujistukia?????? mmegombana nyie weeee!!!! hakuna aliekubali kushuka na kumsikiliza mwenzie hadi...
Hii ikoje wadau,
Kuna rafiki yangu mmoja anaishi nyumba za kupanga maeneo fulani jijini Dar, mwanzo alipenyezewa ubuyu na dogo mmoja mpangaji mwenzake kwamba, mkewe kila mara huletewa chips na...
Naamin asilimia kubwa ya wana Jf wana ma ex grl friends/ex boyfriends,
Sasa wadau tubadilishane uzoefu kwann ulimuacha grl friend/boy friend au kwanini alikuacha grl friend/boy friend wako
karibuni...
Habari Wakuu!
Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?
Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?
Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
Habari wakuu, Nina mchumba wangu ambaye alizalishwa na jamaa mwingine na wakaachana.Huyo mtoto wa mchumba wangu ana kama miaka miaka 3 kasoro hivi.
Tatizo linalonisumbua ni Tabia zake kwanza ana...
Hello,
Hii hali ya wadada kutupiga mizinga ilikuwepo ila kwa sasa naona hii hali imezidi, wanawake free wanapungua kwa kasi ya 4G kama sio 120km/hr. Karibia kila msichana ninaemtongoza (kati ya...
Wana JamiiForums, nawasalimu,
Note: Nadhani maelezo yangu yatakuwa marefu, lakini kama huwa husomi habari ndefu, hebu leo jisomee, nahisi unaweza kujifunza jambo au ukaona tu jinsi maisha yalivyo...
Nimeshiba maandiko na nina njaa ya kuandika na ndio maana naandika sababu ya shibe ya maandiko ,nasikia raha kuandika sababu ya shibe ya maandiko ,soma kwa kina na tafakari nacho andika ni utunzi...
Za asubuhu jamani,
Baada ya bunge kupitisha marekebisho ya sheria ya ndoa na uzazi hasa kwa wanafunzi wote na wenye umri chini ya miaka 17 kwa mabinti na ikitokea ukampa mimba mwanafunzi kifungo...
Ujana ni nusu ya uwendaazimu ila mimi nasema hivi ujana ni wendaazimu kamili maana utakuta mtu enzi za ujana wake anajihusisha na mahusiano na mabinti tofauti tofauti akisha wapa ujauzito...
Kuna ndugu wanao share jina la ukoo ila hawa share upendo wala faraja,kuna ndugu asiyependa mtoto wa mama yake mdogo afanikiwe ,pia kuna mama mdogo anayefurahia mtoto wa dada yake kuachika...
Jamani wapendwa wana JF mim nina tatizo kubwa sana linanitatiza...maisha yangu ni ya kawaida sana ila nina bahati ya kupendwa na wadada ambao nikiwahesabu tangu nianzishe mahusiano nao naona...
Kuna mwanaume anayefanya kazi kwa kujituma na kidogo anachokipata hurejesha nyumbani kwa mkewe ili kuweza timiza matumizi ya lazima kwa ajili ya familia na malezi ya watoto.Baadhi ya wanawake...
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika na nyingine migogoro haiishi, lakini siku tunapata muda wa kuwachunguza wenzi wetu kabla ya kuoana, je, tunakosea wapi, mbona zamani watu walioana hata hawajuani...
Sifa zangu kama ifuatavyo, mnyenyekevu, muislam, nina bachelor degree nina umri 25+yrs. Nahitaji mwanamke kwa aliyetayari kuolewa, awe na sifa zifuatazo
Awe muislam.
Awe na elimu ya kuanzia form...
Hapana shaka wakuu swali hili litajibiwa na wanandoa haswa.
Lengo la swali hili ni kupeana uzoefu wa changamoto zinazotukabiri katika ndoa zetu. Swali la msingi ni changamoto gani uliwahi...
Nianze kwa kumtakia RIP, kwani hatunae katika uso wa ardhi.
Si mara moja au mbili, ni mara nyingi Baba yangu nikiwa tumekaa nae zama za uhai wake, alikua akiyarejelea maneno haya :-...
Baada ya muda mrefu ya kuwa mbali nimeonana na baba mzazi.Amefurahi sana na tumeongea mengi sana.akaniambia haya yafuatayo.
1.Mwanangu umekua fanya kazi kwa bidii Sanaa.
2.Tafuta mwenzako wa...
Kuna ndugu wanao share jina la ukoo ila hawa share upendo wala faraja,kuna ndugu asiyependa mtoto wa mama yake mdogo afanikiwe ,pia kuna mama mdogo anayefurahia mtoto wa dada yake kuachika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.