Kama maada inavyojieleza. Mimi jinsia yangu ni me. Nahitaji na mwanadada msomi mpweke wa kubadilishana mawazo. Na kupeana mawazo namna ya kukabiliana na changamoto za maisha aliyetayari tuwasiliane niko free muda wote naweza kuonana. Niko Dar tegeta.