Kwanini wenzi wakiachana wanaendeleza chuki kati yao?

Swenailie

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
240
229
Habarini ndugu zangu,
Hivi Jamani ninaswali unapoachana na mtu Kuna haja ya kuwekeana chuki hata msisalmiane? Hasa kama ulimpenda mtu akakuacha je utaendelea kumuona wa kawaida Au Ni sawa kumchukia usitake kusikia chochote wala hutaki hata msalmiane???
 
Labda anianze yeye kunisalimia, cuz nikimuanza mimi itaonekana kama nampembejea au nataka kubembeleza penzi, Afu si unajua mademu walivyo na dharau,.? Yani anaeza akakufanyia nyodo mpaka ukajuta kumfahamu... Shiit mi always namuombea mabaya tu and not anything else...
 
Hakuna kuachana. Ila kuna kuachwa. Mmoja ndo uchoshwa na tabia za mwingine kunapokosekana kujirekebisha, uvumilivu unakwisha ndo unaachwa. Hili neno kuachana linatumikaje?
Kwa kukosa taarifa sahihi kunapelekea kutojua Nani aliyemuacha mwenzake, tunaishia kusema wameachana.
Kuhusu hoja ya mezani itategemea zaidi na mapokeo
 
Mimi Tukiachana,Nkikutongoza Ukakataa,Nkikuombamo Ukaninyimiamo.
THAT MEANS WAR.
An Express Implied Declaration Of War.
Sura Mbuzi Tu.
 
Mimi ex wngu wote ndio marafiki zangu wakubwa but napata pingamizi toka kwa my wife to be coz haamini kama ni marafiki wa kawaida tu.
TUPA KULE CHUKI
 
Siamini ktk mawasiliano na ex even if mliachana kwa amani
Mliamua kuachana basi na mawasiliano yasitishwe kuepusha kukumbushana good times mlizo share
Block all mean of communication if possibleupate upepo kwa raha zako and move on with ur life.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom