Bila shaka mko poa wakuu.
Ni miezi kadhaa imepita tangu nilivoanzisha mahusiano na girlfriend wangu, ila kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa na kushindwa kuelewa nifanye nini.
Kila...
Wanawake huwa wana njia nyingi sana za kuonesha kama wamemzimia mwanaume,nadhani hii inatokana na utamaduni wetu wa wanawake kushindwa kuwaambia ukweli wanaume wanaowapenda,huu utamaduni sio mzuri...
Natumai mu wazima was afya.
Katika kusikiliza power breakfast nikasikia mjadala uliokuwepo kati ya babra,kipanya,na fredwaa.kulikuwa na mjadala kuhusubkuachwa.je kuna uhalali wowote wa kumchukia...
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana...
Kwa jina naitwa Mr.beca ni mzaliwa wa mkoani Dodoma...!!!mnamo mwaka 2001nikiwa darasa la tano nilitokea kuvutiwa na binti mmoja ambae kiukweli nilimpenda sana...tena sana!!katika kipindi hiko...
Nani amekulia maisha ya kuishi na hausigels ndani?Vipi uliweza kukatiza sikuzote bila kumla hata mmoja?
Binafsi nimeishi na housegals wengi,kutokana na wazazi wote kuwa wanaenda kazini hivyo...
Ndugu zangu,
Ikiwa Umeoa mwanamke then akapigiwa simu na mtu yeyote usiyemfahamu, halafu ukasikia anatoa majibu haya ..." Eeee..." anaendelea tena ..."Eeee"... afu akasema " Haya"... Ujue tayari...
SITAISAHAU TANGA: SEHEMU YA 1
Nikiwa kwenye mishe zangu za research kwenye mji wa Tanga, ilikuwa ni research ya siku kumi na nne. Jioni ya siku ya pili nikakatisha sehemu flani hivi mjini hapo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta msichana wa kumuoa
VIGEZO
1.Awe na miaka 18~25
2.Awe tayari kuishi popote
3.Awe na heshima zake
Mwenye Vigezo Hivyo aje PM
Habari za mda huu wanaJf,.
Ni safari ndefu kidogo nilisafiri,nilitumia siku mbili kumfuata mke wangu kipenzi na mwanangu kumuomba samahani kwa niliyo mkosea.Daahh!! Kweli wanawake wana moyo wa...
Huwa inanishangaza kwa kweli, matumiz ya tende mwez wa Ramadhan ni maradufu kulinganisha na miezi mingine. Huwa najiuliza hizi tende ni maalum wa Ramadhan tuu? au mwez huu huongezeka virutubisho...
Habari za wakati huu wakuu!
Ni hivi,baada kuona mshahara anaopata alipo ni wa kijungu jiko tulipatana na mchumba Wangu kwamba baada ya kufunga ndoa angehamia niliko
tuishi pamoja huku akifanya...
Siku hizi wanaume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.Kumbe tunaenda kunywa supu...
DEAR WOMEN:
Have you ever asked yourself why husbands are sleeping with maids? Well my findings revealed that maids are doing wives' duties. Most wives are now full time facebookers, bb users...
Nimekuwa nasikiliza kesi nyingi za wapenzi na wale walioko kwenye ndoa ambazo baadhi yake zimekuwa zikipelekea mahusiano baina yao kuvunjika. Sasa nikawa najiuliza hapa....hivi ni kosa gani ambalo...
Wapendwa mabibi na mabwana naomba mnisaidie hii kitu kidogo. Unajuana na msichana either uliwahi kukutana nae or mmejuana through someone hamjawahi kuonana mpo mbali kidogo. Kati yenu ndio kwanza...
Jamani ninatafuta mke kwa aliyeserious ili mfungo ukiisha tuje tufunge ndoa.
Masharti kama ifuatavyo
Awe muislam
Umri 18-26
Awe na upendo wa kweli
Kabila lolote
Kwa aliyeserious ani PM kwa...
Nakumbuka kipindi kile nakunywa pombe, sasa kila nikienda home tukilala anageukia ukutani. Nikaja muuliza why akajibu nilikua namkwaza na harufu ya pombe.
Sasa unakuta mtu anatumia konyagi au...
Emanuel Joseph is university graduate currently he is civil servant working in Mwanza region Now he is looking for hardworking Girl to Marry age from 25 to 30. If there is a girl who is ready...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.