Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini
Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo anajitegemea kwa kila kitu
Kwa asilimia flan naamin ananipenda na ananiheshimu but ni only anapokuwa dar
Cha ajabu akienda kwao Moshi anakata mawasiliano mpaka akirudi ndo anarudi hewani na sio kwamba kwao hakuna mawasiliano hapana yapo
Ndugu zake kadhaa wananijua na wanajua uhusiano wetu kutokana na navyobeba majukumu yake
Tatizo lilianza dec alienda kwao akazima simu mpaka aliporud nikasamehe
Sasa imejirudia tena kaenda kwao kwa siku chache kwenye sherehe ila hapatikani tena
Nashindwa nichukue maamuzi gani akirudi! Angekuwa mtu mzima labda ningesema ana mme huko kaolewa ila hapana maana bado nikadogo
Wachaga nisaidieni huko kwenu kunanini mpaka mtu azime simu?