Kwa wadada tu

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,020
Habarini dada zangu,

Kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni,

Kwa dada zangu wanaotumia angels pad hivi kile kipimo kilichomo kwenye pad za angels kinatumika kupima nini hasa?

Kwa wale mnaojua naombeni mnijuze,waiting to hear from you soon!
 
Habarini dada zangu,

Kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni,

Kwa wale wanaotumia angels pad hivi kile kipimo kilichomo kwenye pad za angels kinatumika kupima nini hasa?

Kwa wale mnaojua naombeni mnijuze,waiting to hear from you soon!
Mbona kina maelezo?!
 
Kinapima ph, ph ikibadilika inamaana unaweza kuwa na maambukizi. Hujaona sheet yenye sample za rangi, kile ndo reference kukwambia uko normal au laah.
kile kijiti chenye pamba ndo cha kuchukulia sample yako hlf unaiweka kwenye kile kikaratasi chembamba chenye rangi ya njano mwishoni hlf unalinganisha rangi inayotokea na zile zingine. Sina uhakika kama ni kipimo accurate
 
Mpendwa hayo maambukizi ni ya ugonjwa gani hasa ili tutake action pale utakapokuwa umeona kimekua abnormal colour
 
Kinapima ph, ph ikibadilika inamaana unaweza kuwa na maambukizi. Hujaona sheet yenye sample za rangi, kile ndo reference kukwambia uko normal au laah.
kile kijiti chenye pamba ndo cha kuchukulia sample yako hlf unaiweka kwenye kile kikaratasi chembamba chenye rangi ya njano mwishoni hlf unalinganisha rangi inayotokea na zile zingine. Sina uhakika kama ni kipimo accurate
Okay shukrani sana mkuu,hayo maambuki ni yepi naomba nidadavulie nipate kuelewa vema na wengine pia wapate kuelewa.
 
Back
Top Bottom