Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,921
Nimecopy na kupaste.
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lin? Wengine wakasema leo asubuh,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hv amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.Majibu yalikuwa hiv:
1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. ??!! Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10. Nani mwenzangu
Mwanamke yupi alitisha hapo?