Unyanyasaji wa Wanawake mkoa wa Mara

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Kama hujawahi kupigwa na mmeo, shukuru Mungu.

Hali hii ndiyo ipo mkoa wa Mara, kabila la kikurya ambapo wanawake wamekuwa wakipigwa na waume zao.

Wanaume wengi huwa hawachagui cha mkumpigia mkewe, wengine hutumia hata panga kama huyu alivyokuwa anatoa kichapo kwa mkewe kwa panga.

Umeshamaliza propaganda zako dhidi ya Mkoa wa Mara na Makabila yake?
 
Mbona siku hizi makabila yote yanapiga wake? Pita uswahili huko uone kesi za kupigwa mpaka kudhalilishwa zimejaa nao ni wakurya?
 
Mwanamke wa kikurwa akikaa mwezi mzima bila kupigwa na mume wake anaenda kijiweni kwa marafiki zake wa kike kuhadithia hilo tena kwa mshangao mkubwa na jibu wenzake watakalo mpa ni kuwa Mume wako siku hizi hakupendi ama amepata mwanamke mwingine yaan mwezi mzima hajakupiga ..?Elimu kubwa sana juu ya mila inahitajika..
 
Back
Top Bottom