Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

Mali zako zote andikisha kwa jina lake, mpe passwords zako zote kuanzia kadi za bank na pia za mitandao yote uliyojiunga. Kama ni mwendaji bar hakikisha unaenda nae na mhimize ajiliwaze baa hata pale unapokua umesafiri. Mu-introduce kwa washkaji zako woote wa karibu na wape hao washkaji namba za simu za mkeo ili wawe wakimcheki kuhakikisha hana na hapati tatizo wakati wowote ule.
 
duuh...inawezekana kweli,
yaani kuanzia password na kila kitu....!!!
mmh iih kali mbaya
 
mhh, You know they say you don't know what you got until it's gone
Ili ajue kwamba unampenda jaribu kuacha kumfanyia kila kitu ambavyo unamfanyia sasa kumuonyesha unampenda, usimfanyie chochote kuwa kauzu tu

then baada ya muda ata realise kuna vitu nilikuwa nafanyiwa vizuri kumbee, kumbe alikuwa ananipendaa
then akisha realise hivyo unarudisha mahabat ya mwanzo, nadhani ataanza ku appreciate,

mimi nilishamfanyia mpenzi wangu hivi nikachukua risk nikasema either tuachane au ajitafakari upya na kuni appreciate ninavyomfanyia,
na alijuta akanipenda mara dufu

Mimi nilidhani wanaume ndio hutake love for granted kumbe hadi wanawake??
 
Kama yeye ni mkurya msingizie anatembea na msela yoyote utakaemuona karibu nae halafu mgonge viboko haswa hapo lazima ataelewa how much you love her.
 
Mali zako zote andikisha kwa jina lake, mpe passwords zako zote kuanzia kadi za bank na pia za mitandao yote uliyojiunga. Kama ni mwendaji bar hakikisha unaenda nae na mhimize ajiliwaze baa hata pale unapokua umesafiri. Mu-introduce kwa washkaji zako woote wa karibu na wape hao washkaji namba za simu za mkeo ili wawe wakimcheki kuhakikisha hana na hapati tatizo wakati wowote ule.

Akili za mademu wa kiafrica. Badala ya kutafuta zao wanasubiri wanaume wao wafe au wawape mali. Mmxxxu!
 
Mali zako zote andikisha kwa jina lake, mpe passwords zako zote kuanzia kadi za bank na pia za mitandao yote uliyojiunga. Kama ni mwendaji bar hakikisha unaenda nae na mhimize ajiliwaze baa hata pale unapokua umesafiri. Mu-introduce kwa washkaji zako woote wa karibu na wape hao washkaji namba za simu za mkeo ili wawe wakimcheki kuhakikisha hana na hapati tatizo wakati wowote ule.
huyu mtoa mada hajatuambia mpaka sasa anamfanyia nini mpaka mke akaona hampendi, labda akirudi atupe details zaidi
 
Kilasiku najiuliza swali hili jibu sijapata, nifanye nini mke wangu ajue nampenda?
Duh mkuu, kwani mpaka mnafika kwenye ndoa alikua hafahamu kua unampenda? Au kuna kingine?

Funguka kama kuna tukio lolote, maybe anaonesha dalili za kutokua na imani na wewe kama zamani n.k. Itasaidia kukupa ushauri mzuri katika angle inayotakiwa.

Au ni wewe tu unataka kuboresha upendo mkuu?
 
huyu mtoa mada hajatuambia mpaka sasa anamfanyia nini mpaka mke akaona hampendi, labda akirudi atupe details zaidi

Na pia mleta mada anataka kuambiwa chochote, hajatoa disclaimer, assumptions au limitations. Hivyo unaweza kumwambia ukitaka mkeo ajue unampenda, usijamiiiane nae.

Hata hivyo ushauri ni kuchekecha na kuchagua; na inawezekana mleta mada anataka kusikia yote ili achekeche na kuchagua litakalomsuit.
 
ukipokea mshahara wote mkabidhi yeye, nyumbani kwako wajae ndugu zake tu, shida ikitokea kwao uwe wa kwanza kusaidia na Zaidi ya yote simu yako iwe kama yake lakini wewe ni marufuku kugusa ya kwake. Trust me u will be the best man ever na daima utaenziwa. Ila juwa jambo moja tu, hawa viumbe hawaridhiki na daima hawajui walitakalo.
 
Mali zako zote andikisha kwa jina lake, mpe passwords zako zote kuanzia kadi za bank na pia za mitandao yote uliyojiunga. Kama ni mwendaji bar hakikisha unaenda nae na mhimize ajiliwaze baa hata pale unapokua umesafiri. Mu-introduce kwa washkaji zako woote wa karibu na wape hao washkaji namba za simu za mkeo ili wawe wakimcheki kuhakikisha hana na hapati tatizo wakati wowote ule.

Ushauri mjarafu!
 
Kwamwe hata tambua kuwa unampenda ikiwa hata hiyo sehemu ya upendo uliyo jitahidi kumuonesha hajaithamini.

Njia pekee ni kuacha kumfanyia hayo unayomfanyia kama ishara ya kumpenda.

Atatambua utofauti nakujuwa upendo wako kwake huwa unajidhihirisha kupitia matendo gani unayomfanyia.

Jamani upendo ni hisia ya ndani aliyonamtu na haiwezi kutambuliwa na mtu mwingine ikiwa bado iko ndani isipokuwa yeye mwenyewe. Ila hisia hizo zinaweza kutambuliwa kwa matendo ya MTU Huyo hapa ndipo tunasema anajaribu kutoa hisia zake nje.

Hivyo kama mkeo ameshindwa kutambua kwa matendo yako kamwe hata umueleze kwa maneno matamu vip hato kuamini zaidi ya kukwambia unamwongopea, maana hapo hisia hizo bado ziko ndani.

• wengine mpaka ujinyonge ndo wanafahamu kuwa walikuwa wanapendwa. @ ndugu zangu wa iringa.

............... Pole ndugu.............................
 
Back
Top Bottom