Natafuta mchumba

mwanairinga

Senior Member
Dec 21, 2015
179
12
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha
Vigezo
Awe mweusi na mnene wastani
Awe mrefu wastani
Awe mkristo
Awe ameajiriwa au anafanya kazi hususani mwalimu
Awe tayari kupima HIV kabla ya yote
Kwa ambaye yupo seriuos ani pm kama tangazo halikuhusu pita kule waachie yanayowahusu
 
Siyo mahali pake hapa,lakini kama unashida sana na mchumba,nenda buguluni au maeneo ya kwa marehemu MACHENI magomeni au Dodoma CHAKO NI CHAKO au viwanja vya sabasaba usimame mlangoni na vipepelushi vya kunadi biashara yako.
 
Mimi ni kijana wa kiume;naushi dar nafanya kz ba taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takauekuja funga naye pingu za maisha
Vigezo
Awe mweusi na mnene eastan
Awe mrefu wastani
Awe mkristo
Awe ameajiriwa au anafanya kazi hususani mwalimu
Awe tayari kupima HIV kabla ya yote
Kwa ambaye yupo seriuody ani pm kama tangazo halikuhusu pita kule waachie yanayowahusu
Mkuu edit thread yako coz makosa ya kiuandishi ni mengi sana! Hata hao wachumba watakuona hauko makini,

Au ndio maana unatafuta mchumba mwalimu ili aje kukufundisha uandishi?
 
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha
Vigezo
Awe mweusi na mnene wastani
Awe mrefu wastani
Awe mkristo
Awe ameajiriwa au anafanya kazi hususani mwalimu
Awe tayari kupima HIV kabla ya yote
Kwa ambaye yupo seriuos ani pm kama tangazo halikuhusu pita kule waachie yanayowahusu
Unafanya kazi ' Taasisi moja ya kifedha jijini DSM' , peleka Love Connect Faster tu utampata. Mungu akusaidie umpata mtakaeendeana na kitabia!. Fursa hiyo kwa mabinti,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom