Madada poa a.k.a Watoa huduma za dharura

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,602
5,808
Habari hapa Jukwaani,

Leo natoa pongezi kwa madada poa, kwangu nawatambua kama "watoa huduma za dharura".

+Kutokana na wanawake wengi kujihusisha na shughuli za kiuchumi, penzi linapatikana zaidi siku za Weekend. Hivyo unapitia kwa hawa kinadada unapunguza wakati unaisuniria weekend.

+Ni msaada mkubwa kwa madomo zege vijana na wazee ambao wanakabiliwa na tatizo la kushindwa kusema, hapa wanapata huduma bila kikwazo.

+Huduma isiyo na usumbufu haina kutoa appointment, haina leo nimebanwa tufanya kesho mkilimalizana kila mmoja anachukua time zake.

+Ni huduma inayopimika unataka dk 10, 20 na hata siku nzima sio mchepuko unataka ukae nae siku nzima wakati una mambo mengi ya kufanya.

Hizo ni baadhi tu.

Nawalaani wote wanaowapa majina mabaya na ya kudhalilisha.
 
Wakati huohuo nawapongeza wachongaji wa majeneza pale Muhimbili kwa kupunguza bei ya Majeneza.

Sote kwa pamoja tusimame na tufumbe macho.... tumwombee kifo chema mtanzania mwenzetu.

Amina!

Unaweza kufananua Jinsi hawa "Watoa Huduma za Dharura" wanaweza kuchangia kifo???
 
Wakati huohuo nawapongeza wachongaji wa majeneza pale Muhimbili kwa kupunguza bei ya Majeneza.

Sote kwa pamoja tusimame na tufumbe macho.... tumwombee kifo chema mtanzania mwenzetu.

Amina!
Hahahaa haha, baby umeua....
 
nawawekaga kundi moja na mama ntilie wanatuokoaga sana kipindi cha njaa
wabarikiwe waongezeke kila kukicha

Hawa watu ni muhimu sana.

Japo Jamii imekataa kuwatambua na kuwaheshimu.
 
Wakati huohuo nawapongeza wachongaji wa majeneza pale Muhimbili kwa kupunguza bei ya Majeneza.

Sote kwa pamoja tusimame na tufumbe macho.... tumwombee kifo chema mtanzania mwenzetu.

Amina!
Amen!
 
hivi kwani kuna madada poa na wasio madada poa? mimi naona wote dada poa tofauti wengine wanafanya kazi mchana bila vituo maalumu na wengine wanafanyakazi usiku kwenye vituo maalumu.
 
Halafu siku ya mazishi utamsikia Mchungaji anasema " Marehemu alikuwa mtu mwema sanaaaa"
 
Dada poa juuuuuuu mnaokoa ndoa Sana

Kuna ndoa nyingi zinalindwa na hawa kinadada... Mke yuko bize mume unaamua kupitia kwa hawa kinadada ukajipooze ndio urudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom