Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,496
- 119,399
Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!
Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.
Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.
Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.
Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?
Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!
Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?
Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?
Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.
Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?
Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.
FOH!