Kwanini uliachana na Ex wako? Tubadilishane uzoefu..

leo: naomba pesa ya saloon, kesho anaomba pesa ya kodi ya Nyumba, kesho kutwa anaomba pesa ya kitu gan sijui.....yaan kwa kifupi kila siku ya Juma nlikuwa nachunwa
. ukisema huna anasema humpendi ....miezi mitatu sijafanya kitu changu cha maana nikaamua kulivua Pendo. though i loved her
 
Hahaha mkuu umenikumbusha nilikuwa na shemeji yako yuko safi kila idara (shule, uzuri,kipato na mawazo endelevu) na nilimpenda lakini mgomvi yaani yaani ananikosea alafu haraka anakimbilia kujitetea kwa ndugu zangu na marafiki na haombi msamaha basi nikafanya maamuzi nagumu.
 
Mi nlisalitiwa, nakumbuka mwanzo mambo ya "the number your calling is busy...samahani, mtumiaji wa simu unaempigia anatumika kwa sasa" hapo ukicheki muda ni saa 4> uwiiii sitaki hata kukumbuka yale mateso, mwisho nilifanya maamuzi magumu!
 
Back
Top Bottom