kugombana mgombane nyie majibu ya kunichukia yanijie mie!!!.

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,377
9,297
happy 7 7 day!!!!!! nauliza tu hivi hali hii ya wapendanao huwaga nikujihisi/ kujihami/ aibu/ kujistukia?????? mmegombana nyie weeee!!!! hakuna aliekubali kushuka na kumsikiliza mwenzie hadi kupata suluhu na kuimalisha uhusiano wenu matokeo yake kila mtu anaondoka kifua kimetuna hasira midomo imevimba minuno,,,, baada ya hapo unaanza kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali ukipewa ushauri na ukaufanyia kazi alafu majibu yaje vizuri mahusiano yenu yaimarike upya na kung'ara,,,. Mara baada ya hapo kwanini mnakuwaga na hali niliyoitaja hapo juu Kila mumuonapo alie wasuluhisha?. mnakuwa na matendo ya ajabu kwa alie wasuluhisha!!?
nawatakia 7 7 tulivu.
 
Back
Top Bottom