Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamii forum Kwa wale wenzangu na mimi ambao hatujaoa tujitahidi kutengeneza maisha wakati tungali SINGLE maana ukishaingia kwenye majukumu ya kuoa mara nyingi muda wa kujenga maisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wadau, kwa kifupi naishi na mama yangu pamoja na mdogo wangu miaka kama saba (7) mimi ndo nilikuwa nahudumia familia kwa kila kitu, marehemu baba yangu alishakufaga miaka mingi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Nahitaji mwanamke ambaye yupo serious kwa ajili ya kuanziasha naye mahusiano and may be marriage in the next few years. I like somebody who is loving, caring, charming, smiling and who knows what...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wana MMU, Ni yapata mwezi mmoja na wiki mbili umepita sasa, tangu niachane na Girlfriend niliyetokea kumpenda saaana nakiri kuwa nilikuwa namuhudumia na kumjali kuliko hata...
17 Reactions
196 Replies
32K Views
Nilimpata msichana lakini aliniambia ana mtu lakini akanipa nafasi ya kuwa pamoja tukadumu kama mwezi hivi tukaachana .sasa kuna siku akanipigia akaniambia ana mimba yangu nikamuuliza umejuaje...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikuwa naishi na babu yangu mzaa baba, siku moja akaniambia (babu naona kama wanawake wote ni madume) sikujua la kumjibu pengine Kwa sababu umri wangu ulikuwa bado lakini Kwa sasa ninaanza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wasichana wanapenda wanaume wazuri kwa vigezo vya six pack , sura nzuri na uwezo wa kipesa kwa mwanaume husika pamoja na vigezo vya urefu,ufupi na rangi za mwanaume ila Wanawake waerevu...
10 Reactions
23 Replies
10K Views
Habarini wakuu wa jukwaa, sitaki kupoteza muda tena nimeamua kuishi peke yangu na siitaji uhusiano na mtu yeyote,, Natumai utakuwa umenielewa Kevi!!!! Kisha akanikatia simu hii ndio kauli...
5 Reactions
62 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 32 nimesoma university level, ni mfanyabiashara nimeweza kufanya maendeleo makubwa. Jambo ambalo limenishinda ni jinsi ya kupata msichana wa kuoa, kwa kweli hili jambo...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Usipovaa chupi au boksa hata kama umevaa suruali au pensi au bukta kwa kawaida uume unakuwa umekasirika na una simama sana na hulala tu baada ya juhudi kubwa na kuhangaika nao mno? Kuna siri gani...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanachama wenzangu wa JF, matumaini yangu hamjambo na ni wazima wa afya, Ningependa kusema najuta kutembea na msista flani mwenye mimba na amejifungua mwezi wa 6 kwa...
1 Reactions
100 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamvi,naamini sote humu ni watu wazima. Kiukweli nasema kutoka moyoni kwamba binafsi siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto kamwe kwasababu kwanza kuoa mwanamke mwenye mtoto ni...
13 Reactions
89 Replies
15K Views
Salaam, Hii iwafikie wanawake na wasichana wote wenye wazo na hitaji kama langu. Mimi ni mwanaume, 28 years of age, living in Mwanza. Nina kazi yangu inayoniingizia kipato na naendesha maisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Rejea tu kichwa cha habari hapo juu na karibu katika " utiririkaji ". Nawasilisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Wadau kuna ishu moja hivi huwa inanitokea mpaka sasa hivi nashindwa kuielewa vizuri kuhusu hawa dada zetu, hivyo basi imenifanya niwe njia panda maana tangu naanza kuwajua...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeimisi hii story ya ndugu yangu Mentor ambayo aliitoa tarehe 25/6/2016 kwa sababu nilikuwa kwenye majukumu mazito ya kumwagilia shamba la mapenzi. Ni hivi sasa nimepata kuisoma hii hadithi...
6 Reactions
148 Replies
13K Views
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Helooooz mabestitoooooz nimewamisije waungwana Ndo mwanzo wa kujipanga kwa upya sasa mwenye nazi aambiwi kuna ili iimarike ndoa yake yeye kama kajifanya tumbili basi ndo kaligomesha kwan ndani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana. Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom