Na huu ndio mfano wa wanawake wa leo. Kwani uliambiwa tunamzungumzia mumeo hapa? Hii ni general, aliyekopa kwa ujinga wake ni mumeo mama please, turudi kwenye mada.alikopa kwa ujinga wake! atalipa mwenyewe unafanya sherehe ya mkopo
Kwa kifupi hizi sheria ambazo si mpango wa Mungu ndio chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa zetu na ustawi wa jamii. Siku hizi hakuna anayeoa, tunaoana. Unakaa ndani na mtu ambaye kinachowatofautisha ni maumbile tu na uwezo wa kufikiri...lakini aliyolishwa yanamtosha kuikataa jinsia yake.
Masuala ya mali yanafanyika kishabiki sana mahakamani. Madeni bwana utabebeshwa wewe kwenye begi