Warembo wanapagawa na mimi, nifanyaje?

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu,

Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi, nina msichana wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea.

Je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
 
Mkuu, oa fasta huyo mrembo wako uliyetoka naye mbali. La sivyo utaharibu sasa hivi ratiba zote mlizojiwekea...
Hao wanakutamani wanaona uko potential na labda wakiwa na wewe maisha yatakuwa poa. Sio kosa lao na wala sio kosa lako but unavyochelewa kumuoa huyo mrembo wako ambaye umeshaanza kumuona kuwa si lolote, si chochote hapo ndio unafanya mistake...
 
Wakuu Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi Nina girl wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
Ni baba swalehe au baba jesca? Nijibu nikushauri
 
Kumbe wewe ni govi..!

fanya faster utahiriwe maana usipotahiriwa mapema utaathirika kisaikolojia..
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom