Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
Kama kuna kitu kinachoreusha ndoa za watu ziendelee kushine ukiacha mapenzi ya Mungu kwangu mimi upendo na 'password' za simu zimesaidia sana kurefusha ndoa zilizopo leo hii kuwa hai.
Else tungekuwa tukisuluhisha kila siku,simu nyingi zimekuwa na 'password' sio tu kwa ajili ya Mpesa ama Tigopesa vingine ni pamoja na mahojiano yasiyorasmi ama sms isizorasmi kwa vijana na wazee wasioweza kuridhika na mapenzi ya mke mmoja.
Mpaka sasa huwa naamini kama simu zisingekuwa na 'password' kwakweli ndoa nyingi zingekuwa ICU ama zinapumua ama zinasubiri Dk kuchomoa kilekifaa chao wakazike.
Tufike wakati wakuheshimu nakukubaliana na hilo ingawa sio kila simu yenye 'password' zinaficha meseji zamapenzi zingine zinaficha baadhi ya maliza mhusika zisijulikane kwa mkewe rasmi.
All and all chochote ufanyachoo jua
*"""""UKIMWI UNAUA*****"