Rangi ya mdomo wanayopaka wanaume inaleta picha gani?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Jana nimemwona BELE9 amepaka ile rangi nyekundu kwenye lips kama wanavyofanya wanawake! Kina dada hebu niambieni hiyo rangi ni ya kazi gani na je inaleta picha nzuri kwa mwanaume kupaka?

Nilizoea kuwaona hao jamaa wa Comedy wakijipaka, nikachukulia kawaida kwakuwa ni waigizaji, labda wanafanya hivyo wakiwa kazini, sasa taratiiibu naona na watu wengine wanajipaka! Hii imekaaje? Kweli kuna haja ya kutandikana bakora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom